Egypt kitanuka?
Tutegemee mandamano mengine kama yale yaliomwangusha Mubarak.
teh teh teh..amepandikizwa na nani? Last time I checked, al Sisi aliteuliwa na Morsi (Muslim Brotherhood) kua jemedari wa majeshi ya Misri; at that time I guess hakua myahudi; ila alipoanza kuwashughulikia wafuasi wa chama cha kigaidi cha MB ndio amegeuka myahudi?? #just_hilariousNi myahudi aliepandikizwa
kwa hiyo misri kuna mahakama mbili ya kisikam na ya kikatiba
teh teh teh..amepandikizwa na nani? Last time I checked, al Sisi aliteuliwa na Morsi (Muslim Brotherhood) kua jemedari wa majeshi ya Misri; at that time I guess hakua myahudi; ila alipoanza kuwashughulikia wafuasi wa chama cha kigaidi cha MB ndio amegeuka myahudi?? #just_hilarious
Achinjwe tu.
Hoja iko palepale tu. Alipokua kipenzi cha Morsi hakua myahudi, ila alipoanza kuwaadabisha MB ndio amekua myahudi!! Na sijui tangia lini myahudi au mwarabu anarithi kabila la mama (if it is necessarily true), hilo swali jijibu mwenyewe kimoyomoyo.Hilo linajulikana sana kama unafuatilia masuala ya siasa na habari za dunia, mama yake na Al Sisi ni Moroccan Jew kwa hiyo automatically kama mama ni myahudi na yeye ni myahudi wala halina ubishi hilo
Hoja iko palepale tu. Alipokua kipenzi cha Morsi hakua myahudi, ila alipoanza kuwaadabisha MB ndio amekua myahudi!! Na sijui tangia lini myahudi au mwarabu anarithi kabila la mama (if it is necessarily true), hilo swali jijibu mwenyewe kimoyomoyo.
Tutegemee mandamano mengine kama yale yaliomwangusha Mubarak.
kiukweli ukombozi unahitajika sana kutoka kwenye makucha ya ukoloni mamboleo wa magharibi na marekani