SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,380
Hilo linajulikana sana kama unafuatilia masuala ya siasa na habari za dunia, mama yake na Al Sisi ni Moroccan Jew kwa hiyo automatically kama mama ni myahudi na yeye ni myahudi wala halina ubishi hilo
Kwa hiyo akiwa na mama wa kiyahudi basi automaticaly pia amepandikizwa na wayahudi!?..is.that what you mean?