King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,865
- 6,156
Just sell media right for more than 40 billions in 10 years only
But Mbumbumbu sale their whole club in life time for 20 billions! That's joke
Yani ungenyamaza Kimya ungeficha mengi kuhusu madhaifu yako! ๐๐
Eti 'whole club' ๐๐๐ labda whole ya Nyoko...
Simba haijauza Timu bali imeuza sehemu tu ya hisa zake asilimia 49% kwa thamani ya Tshs. 20B, kuna 51% zilizobakia kwa Wananchi unajua zina thamani ya Tshs. ngapi? ๐๐๐
Hivi Uto kwanini munashindwa kujua Vitu rahisi kama hivi?