Mohammad Dewji shut that little mouth up!

Mohammad Dewji shut that little mouth up!

cool down please. please. nakuomba. umekosea kusema arudi uarabuni wakati si ajabu maisha yake yote yamefanyika tanzania. huyu ni mtanzania mwenzetu rangi si tatizo. wapo watanzania weusi wenye roho mbaya na wameiba sana katika nchi hii. nadhani kama una mhukumu, mhukumu kwa matendo yake rangi ,kabila ,dini yake achana nayo. pole dada yangu.

You have nothing to tell us,,,,,,,mlitumia mianya ya udhaifu wa vizazi vilivyopita mkajipatia utajiri wa kishenzi dhuluma uuaji wa tembo na rushwa
kuanzia sasa hivi learn how to shut that small mouth up!!!kwanza mliuza babu zetu utumwani na mkawaua kwa kuwatesa,,i hate you,,wewe ni kizazi cha uovu na akili zako zimejaa uovu hakuna jambo lolote unaweza kuwaambia watanzania nenda kwenu huko uarabuni ukapigane na waarabu wenzio huko
 
Mleta mada pole sana wakati unaandika ulikuwa katika msongo wa mawazo nadhani.. hivi unajua ni weusi wenzio wangapi wametupiga mabilionin ya pesa????
 
Unapoleta mada uwe umeshiba weledi wakutosha juu unachokizumzia sio unakurupuka,Mo mhindi unamuita mwarabu,nibora ukabaki mchangiaji humu Jf kunavichwa unawezajiona hata hukwenda shule wakakuharibia nasiku yako bure!! Pole b'dada.
 
Yeye sio self made billionaire,tofauti na akina Dangote.Hana cha kusema kwani alirithi utajiri huo,japo aliongezea.
Hata Dangote pia sio self made billionaire,mtaji aliopewa na uncle wake(chief) ulikua mkubwa kiasi kwamba angeweza akanununua mercedes benz mpya(0 km) zaidi ya 10 kwa kipindi hicho-hayo maneno yake mwenyewe Dangote.
 
Waarabu ni Wajinga, Ila alichoandika Mo ni fact kabisa, Acha kumdiscuss yeye discuss hoja zake
 
mbona tweet yake ya kawaida tu?mbona kumu attack namna hio
 
wewe nawe yanga,umeandika utumbo mtupu,ukiyataka hayo hautokutana na msafi dunia hii,umasikini ni ugonjwa mbaya sana...
nakubaliana na wewe umasikini ni mbaya ndio maana unataka kuuza utu wako kwa matajiri uko tayari kuwalamba miguu wanaweza kukufanya chochote kwa sababu kiakili umeshajiaminisha wewe ni mnyonge
 
Hata Dangote pia sio self made billionaire,mtaji aliopewa na uncle wake(chief) ulikua mkubwa kiasi kwamba angeweza akanununua mercedes benz mpya(0 km) zaidi ya 10 kwa kipindi hicho-hayo maneno yake mwenyewe Dangote.
All the same,mtu aliyerithi hawezi kujifanya anatupa inspirational speeches wakati yeye kadandia safari ghorofa ya 10.The best in yule aliyeanzia ground floor like Mengi n.k.
 
Mtoa mada ana point. Hizo kampuni zake hadi sasa vyeo vyote vya juu kajaza wahindi wenzake wazawa wanafaidika na nini.
 
Kuna watu wana amini kuwa rangi zao zinawapa uhalali wa kuwa watanzania kuliko watu wengine. Hakuna kitu kibaya humu duniani kama ubaguzi wa rangi.
 
You have nothing to tell us,,,,,,,mlitumia mianya ya udhaifu wa vizazi vilivyopita mkajipatia utajiri wa kishenzi dhuluma uuaji wa tembo na rushwa
kuanzia sasa hivi learn how to shut that small mouth up!!!kwanza mliuza babu zetu utumwani na mkawaua kwa kuwatesa,,i hate you,,wewe ni kizazi cha uovu na akili zako zimejaa uovu hakuna jambo lolote unaweza kuwaambia watanzania nenda kwenu huko uarabuni ukapigane na waarabu wenzio huko
Kesho uje central siyo ya serikali utajua mwenyewe wapi, njoo na vijibwa unavyoviongoza
 
You have nothing to tell us,,,,,,,mlitumia mianya ya udhaifu wa vizazi vilivyopita mkajipatia utajiri wa kishenzi dhuluma uuaji wa tembo na rushwa
kuanzia sasa hivi learn how to shut that small mouth up!!!kwanza mliuza babu zetu utumwani na mkawaua kwa kuwatesa,,i hate you,,wewe ni kizazi cha uovu na akili zako zimejaa uovu hakuna jambo lolote unaweza kuwaambia watanzania nenda kwenu huko uarabuni ukapigane na waarabu wenzio huko
ndio mkaamua kumpoteza kabisa?
 
...hamna kifo kibaya kama kufa kwa dhamiraaa...kila yeyote mwenye akili timamu uongeapo naeee...dhamira ikisha kufaaaa...haina mshirikiii.....kwa imani yako omba dhamira yako ijali uhai wa wengine ...
 
We mtoa mada unamatatizo ya kisaikolojia au una bad attitude. Nakumbuka hata ule uzi wa jamaa aliekuja kuanza maisha Dar akaomba msaada ulikua very negative ukacomment shit tu. Change your attitude change your life.
Umewahi fanya kazi kwa waarabu,wahindi ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom