hatamie nashangaa, hatuwezi chukulia tofauti za mababu zetu nasi tukazichukua hivyo hivyo, hadi miaka ya themanini mmasai alikuwa hawezi kwenda tarime au bariadi kwa uhasama wa kuibiana mifugo. leo hii wamasai wapo tarime na bariadi wakiuza ngorotee na shanga.Una muhukumu mtoto kwa dhambi aliofanya baba ake, kweli wewe una chuki binafsi.