Mohammad Dewji shut that little mouth up!

Mohammad Dewji shut that little mouth up!

Maskini mie!! kutokujua kingereza hukuuu!!
Hivi ni kweli hiyo twiti ya Mudi imekaa vibaya kiasi cha kumtolea povu kiasi hicho?!!!
Nahuja, njoo tufungiane kwa chumba tufundishane. Tukitoka kila mtu anajua kimombo..teh!!
 
Umenikumbusha Kanye West alivyojibu kuhusu sababu za mtu mweusi kufanywa Mtumwa enzi za ukoloni ambapo alijibu ya kwamba “Mtu Mweusi au babu zetu walipenda wenyeji kuwa watumwa wala halikuwa kosa kwa mtu mweupe(mzungu,mwarabu) kumgeuza mtu mweusi kuwa mtumwa “
Alichukua anazungumzia kanye ni utumwa wa kiakili. Hata wazungu na waraabu wenyewe mababu zao walikua ni watumwa zamani lakini ni waafrica tu ndo hadi leo tunalaumu matatizo yetu kwa utumwa au ukoloni. Ndo mana kanye anasema "We're mentally imprisoned."
 
Mbona sioni shida ya hiyo tweet jamani, au mimi kiingish sikijui
 
Mpendwa inawezekana kaumizwa na mtu anakuja hapa apate afueni muonyesheni upendo mleta mada yuko mpweke trust me, mie mwanamke najua hilo
 
Masikini huamini matatizo yao yameletwa na waliofanikiwa! Wewe endelea Tu kulaumu watu kwa matatizo yako na hii mada umeileta makusudi Tu unajua Kuna makopo wenzio humu wengi Tu wangekuunga mkono kwa sababu za either siasa,soka,umasikini,udini,ujinga or whatever.BADILIKA
 
Huu ndio uzuri wa social networks.

Mtu yuko kijijini kwao Kivule, ndani ya chumba kimoja chenye giza, humo humo kuna mkaa na madumu ya maji lakini akipata mia tano ua bando anamtolea povu Dewji.

Chances are, Dewji will never see this stinky thread of yours!

Usipambane na Dewji, pambana na umasikini wako!
 
Unamuonea sana! Alichosema ni ukweli kabisa kulingana na ethics za uchumi.
 
Masikini huamini matatizo yao yameletwa na waliofanikiwa! Wewe endelea Tu kulaumu watu kwa matatizo yako na hii mada umeileta makusudi Tu unajua Kuna makopo wenzio humu wengi Tu wangekuunga mkono kwa sababu za either siasa,soka,umasikini,udini,ujinga or whatever.BADILIKA
Tatizo la waliosoma KLF
 
You have nothing to tell us,,,,,,,mlitumia mianya ya udhaifu wa vizazi vilivyopita mkajipatia utajiri wa kishenzi dhuluma uuaji wa tembo na rushwa
kuanzia sasa hivi learn how to shut that small mouth up!!!kwanza mliuza babu zetu utumwani na mkawaua kwa kuwatesa,,i hate you,,wewe ni kizazi cha uovu na akili zako zimejaa uovu hakuna jambo lolote unaweza kuwaambia watanzania nenda kwenu huko uarabuni ukapigane na waarabu wenzio huko
hilo la tembo nakuunga mkono Kassim Dewji alikua ana ofisi pale Haidary plaza posta mpya mzigo alikua ananunua laki 5 kwa kilo na akienda rufiji kuuchukua kwa gari ya waziri mkubwa kabisa anakupa laki3 kwa kilo.
Pia hawa walipata mashamba ma godown ya umma kwa bei ya kutupa wakaenda benki kuchukulia mikopo kwa kweli hana la kutufundisha.Mjanjamjanja fulani hivi
 
You have nothing to tell us,,,,,,,mlitumia mianya ya udhaifu wa vizazi vilivyopita mkajipatia utajiri wa kishenzi dhuluma uuaji wa tembo na rushwa
kuanzia sasa hivi learn how to shut that small mouth up!!!kwanza mliuza babu zetu utumwani na mkawaua kwa kuwatesa,,i hate you,,wewe ni kizazi cha uovu na akili zako zimejaa uovu hakuna jambo lolote unaweza kuwaambia watanzania nenda kwenu huko uarabuni ukapigane na waarabu wenzio huko
Wivu na roho mbaya tu
 
Acha chuki sababu ya umasikini wako,biashara ya utumwani wa kulaumiwa ni waafrica wenyewe inakuaje watu waswagwe toka Congo wanapita vijiji vyote wakisindikiwa Na watu hawazidi kumi Na wakipita vijiji vyenye watu walishindwa vipi kuwaaua ma slave master ili kuzuia wenzao kuchukuliwa utumwani,maana adui wa mwafrica ni mwafrica mwenzake.Utajiri ni hobby hata wwe ukitaka kuwa waweza.
 
Unamuonea sana! Alichosema ni ukweli kabisa kulingana na ethics za uchumi.
Haya bana.
tapatalk_1532275089773.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom