Mohamed Trans laua Polisi watano!

Ni sawa na kuku aliyebandani,kumcheka anayechinjwa,siri ya kifo chetu anaijua Muumba,kama ni madhambi ya watendaji ahukumiwe kila mtu kwa kosa alilolifanya mwenyewe,polisi wengi ni wazuri tu,kama ambavyo mahakimu wengi walivyo wazuri,au Ma-TRA, au maofisa ardhi na kada nyinginezo nyingi serikalini .Ni vijana wadogo wanaotegemewa na taifa pamoja na familia zao,kama wewe unavyotegemewa,ni wadogo zetu,ni ndugu zetu ni wapendwa wetu.RIP
 
Ninaruhusiwa kuomba kazi ya replacement kwa mmoja wao?????????? Maana wameshakufa ila kazi zao hazijafa bwashee!!!!
 
R.I.P Bro n Sisters - To Ma Homies That We Lost PC Deogratius Mahinyila(Brai Mnyausi) Ayoub & Amina tupo pa1 only the good die young. Long Live IFM Daima for DEO.

I
 
Back
Top Bottom