SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
Leseni mpya ndio zimezidisha zaidi ajali,tofauti na tulivyoambiwa wakati wa uzinduzi wake
Hakuna mwaka unao pita hivi hivi bila kusikia bus za mohamed trans zimehusika kuua...hii kampuni sijui ni ya majini? wanapenda kuona damu za watu zinamwagika sana.
Ninashaka juu ya akili yako na kingine nawaomba wahusika wa pale Milembe wazidi kuimarisha Ulinzi!
!
wangekufa kumi au ishirini mbwa hawa siwapendi kama nini basi tu,
go burn in hell...siwapendi sana hawa watu basi tu
hata kama wapo 600000 wafe tu,polis!!!!!aaah hawa hawana maana,na kama kuna majeruh wafe wote,ingawa wote tutakufa,hawana ubinadam hawa watumishi,nawachukia polisi tangu nikiwa darasa la 2
mnaotaka picha za nini? Maiti ama magari?ama ajali?
Rip n polen familia
Walikuwa wanatoka kwenye sherehe? Ilikuwa haina kilaji?
chanzo cha habari je?
mkuu Me sikuhitaji picha..i was curious na wakware wa picha hata mtu akisema kaja.mba wanataka pich sa sijui huwa zinawasaidia ninPicha ya gari waliopanda askari hao
Kwa sababu wewe hautakufa eeeh ?! Control hasira zako acha roho za kishetani.!
!
wangekufa kumi au ishirini mbwa hawa siwapendi kama nini basi tu,
go burn in hell...siwapendi sana hawa watu basi tu
Duh!😱 hatari namna hii.
Hiyo saa 11 hilo bus lilikuwa linatoka wapi? Maana sie Sumatra tujuavyo mabasi yanaanza safar kote nchini saa 12 alfajiri.
!
!
wangekufa kumi au ishirini mbwa hawa siwapendi kama nini basi tu,
go burn in hell...siwapendi sana hawa watu basi tu
Inaelekea wewe kinda sana, unarusha jiwe hewana kwa kutegemea lipotelee huko huko.!
!
wangekufa kumi au ishirini mbwa hawa siwapendi kama nini basi tu,
go burn in hell...siwapendi sana hawa watu basi tu
!
!
wangekufa kumi au ishirini mbwa hawa siwapendi kama nini basi tu,
go burn in hell...siwapendi sana hawa watu basi tu
wao pia walishasababisha ujane na ukiwa kwa familia nyingi tu.i.e mwangosi and so onMkuu chuki mbaya sana hiyo mkuu,,wafirie basi wafiwa,,watoto wao ambao ghafla wamekuwa yatima na wake zao wajane,,,kwa huruma hiyo tu ungetoa hata pole!!!!sio ustarabu kabsa mkuu,,,after all sio police wote wabaya mkuu,wengine ni wazuri tu,,na hii ni ajali kaka hawajafa wakimpora mtu.
kumbe polisi wananunulia watu simu siku hizi.mbwa mwitu wanachukua kila siku na sio simu tu na majeraha wanakuachia.Wewe unafikiri bila hao polisi ungethubutu kumiliki hata cm wewe