Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM taifa (UVCCM), CDE Mohamed Kawaida amekiri kupokea malalamiko kutoka kwa vijana wa CHADEMA wakilalamikia kunyimwa haki ya kuchagua na chama chao kwa kitendo cha kugoma kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi.
"Chama chochote cha siasa ambacho hakifanyi jitihada za kushika dola hakifai kuaminiwa katika nafasi za uongozi kwa sababu kinakosesha haki ya msingi watu wake", alisema Mohamed Kawaida.
Awali akizungumza katika mkutano Mjini Njombe mwenyekiti wa UVCCM, Njombe Samwel Mgaya amesema mwaka huu ni mwaka wa kizungumkuti hivyo anataka vijana wajitokeze kwa wingi kushiriki mchakato mzima wa uchaguzi kwasababu wamechoka kubeba mabegi ya watu .