CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Hahahahahaha.Kwa kukusaidia tu, huyo mwenyekiti anaitwa Baba Yeyoo!
Na kuhakikishia kuwa una masaa machache ya kuwepo humu jamvini.
Na kuhakikishia kuwa una masaa machache ya kuwepo humu jamvini.
Ahsante mkuu!Pole sana mkuu
Hahahahahaha.
Lakini vp wewe mwenzangu,unae mwenza au na wewe ni mkiwa kama mimi?
Ruttashobolwa babaa shemeji naleta mashitakaa sielewi lengo la nduguyoo Bishanga ni bayaa kwangu mimi naona imani yangu ni ndogo kwangu mimiii
Hii nayo ni thread jamani lol....