Mods mmenisema sana!!mneninyanyasa sana!!mmenipiga ban sana!!kisa ni king'ast!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
929
Yes natangaza kujivua 'GAMBA'kwa 'mtoto' king'ast!!
Haiwezekani kupigwa ban kila wiki tena weekends.Ngoja wenye visu vikali wale nami ntapata mwandani wangu tutakaeshibana kama king'ast na Paw wake.

Nawajua wote walionyuma ya sekeseke hili,na hasa huyo mwekiti sijui baba nani nememsahau,yeye ndio chanzo!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Simba mwenda pole ndiye mla nyama...wewe ulikuwa ni Simba mwenda kasi ndio maana umejeruhiwa
 
Simba mwenda pole jua huyo ni sharobaro
Afu mie sijawahi pata Ban duh hadi raha
 
Utaishia kula kwa macho tu wakati wenzako wanafanya kwa vitendo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom