Modem za Vodacom

Modem za Vodacom

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
5,758
Reaction score
6,692
Habarini wakuu! Mimi naombeni kujuzwa kuw ni modem model ipi ya voda ambayo inafaa kuchakachulika kirahc ambazo zipo madukan kwa kipindi hiki! Natanguliza shukrani!
 
zote mkuu
chief mkwawa mie nina modem mbili na nilikwisha zichakachua zote kwa sasa napata taabu kubwa sana maana spidi yake mara nyingi inakuwa chini sana so nahangaika sana hata kufungua jf tu inakuwa mpaka ijifikirie nimejaribu kununua bando tofauti tofauti lakini bado tu. Kwa sasa nahisi pengine natakiwa kudownlod tool flani ili niongeze kasi ya net kwa kuwa sina uhakika tafadhari nipe ujanja mkuu.
 
Last edited by a moderator:

mkuu hebu soma vizuri hii thread utaelewa

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...5004-kwa-wenye-shida-kukamata-3g-signals.html
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Habarini wakuu! Mimi naombeni kujuzwa kuw ni modem model ipi ya voda ambayo inafaa kuchakachulika kirahc ambazo zipo madukan kwa kipindi hiki! Natanguliza shukrani!

kanunue E303 na jinsi ya kuchakachua tafuta thread ya kimox kaeleza njia pamoja na kuattach program za kuchakachulia..
 
Ok nashukuruni sana kwa mchango wenu! Subiri nikimbie dukan fasta kabla hawajafuta hyo post!
 
Back
Top Bottom