BinMgen
JF-Expert Member
- Jun 18, 2008
- 1,854
- 262
Ni modem zote mkuu zinayo sehemu ya kuweka memor, Airtel modem, sehemu unayoweka line angalia pembeni kushoto kuna open space, voda modem angalia pembeni yake kuna kifuniko.zantel pale kwenye shingo pana kanafasi ndio hapo..Ni kweli mkuu... Nimefanikiwa kuzichakachua kirahisi kama vile kumsukuma mlevi... Ubarikiwe sana mkuu. Nimeweka line ya voda inafanya kazi vizuri tu na ya Airtel nimeweka imekubali, ila sijatumia net yake kwani sijaisajili line yake bado.
Pia hizi modem unaweza kuzitumia kama flash disk kama ukiweka memory.