Modem za tiGO zina chakachulika?

Modem za tiGO zina chakachulika?

lets wait for calvin powerss resultsss
Let me point out here that i have no Idea hizo modems zinafanana vipi. I therefore requst for two things. Make (mfano Huawei) and model (mfano E1550) kama kuna mtu anayo please kindly tutajie hiyo promo ni make gani na ni model gani.
 
Mkuu, tulikuwa tuna kusubiria wewe baada ya kutuambia unge nunua moja kwa ajili ya majaribio.. Sio mbaya tuwasubirie walio nunua watupe detail zake.
 
Mkuu, tulikuwa tuna kusubiria wewe baada ya kutuambia unge nunua moja kwa ajili ya majaribio.. Sio mbaya tuwasubirie walio nunua watupe detail zake.
Dont be discouraged Mkuu, I'm very sorry that I've been a little bit bize, kesho ni public holiday hawafungui. Ila kama kuna mtu aliyenunua atupe detals then nitajua wapi pa kuanzia.
 
Kaka hata mimi nimejaribu kuku-pm but nashindwa kwani umeblock pm yako.
 
Mganyizi has chosen not to receive private messages or may not allowed to receive private message. Therefore you may not send private message to him/her

Huo ndio ujumbe niliopata nilipo jaribu kukupm Mganyizi
 
Wakuu mnaotaka ni wa PM, nyie ndio mnataka niwasaidie na bado mnataka mimi niwatafute inakuwaje hii? imekaa sawa kweli? leteni hizo PM haraka.

Wewe muganyizi, haha haa haa
mbona unazingua watu hivyo? Walete PM na wewe hupatikani kwa PM?

Nimekutumia e mail!
 
mbona kimya? nimejaribu leo imegoma ila kuna mtaalamu anakuja home kunisaidia nta wa update
 
Du mzazi umekuja na kitu cha maana, tupe mzigo wa kuchakachua moderm za zantel, nina machungu nao sana! ikibidi tuwapoteze sokoni kabisaa!
 
wadau naomba msaada wenu maana kila siku wananikamua kishanzi hawa jamaa wa zantel na nina matumizi makubwa sana ya internet nikiwa home.naombeni mnijuze namna ya kuichakachua.
 
Du mzazi umekuja na kitu cha maana, tupe mzigo wa kuchakachua moderm za zantel, nina machungu nao sana! ikibidi tuwapoteze sokoni kabisaa!

Duuu mkuu naona una hasira sana wewe,hahaa jamaa naona labda yupo busy ila akitupa ushauri itakuwa raha sana.....
 
Mganyizi, asante sana kwa trick yako, nimeacha pc yangu ikidownload madude, ubarikiwe sana.
 
wadau sijui mwasemaje juu ya ombi langu hapo juu?namna ya juichakachua hizo modem za zantel maana wala hela sana.
 
Hazichakachuliki labda kama kuna advanced technology ambayo hatujainyaka
 
Mzee Muganyizi vipi, tupe maarifa na sisi wadau tuweze kuenjoy hiyo kitu ya Zantel Modem.
 
yep mganyizi why private?post hapa jinsi ya kufanya hyo ki2 in da topic it wl b gud zaidi..cz dah hzi gharama zinatumaliza.. Shukran.
 
Mganyizi, asante sana kwa trick yako, nimeacha pc yangu ikidownload madude, ubarikiwe sana.

Mkuu naomba niforwadie basi na mimi huo ujuzi uliopata ili na sisi tufanikiwe........
 
Back
Top Bottom