Modem za tiGO zina chakachulika?

Wakuu naomba kujua kama hizo modem za tiGO zina chakachulika ili ni wanunulie vijana wangu wajimwage na Airtel,

wamezishusha bei hadi TSH 30,000.

Mkuu zinachakachulika kirahisi sana.............dakika kumi nyingi. Tena ukishaichakachua ukaweka line ya Airtel infanya kazi vizr sana
 
ohky.kwani hawa tigo modem zao hasa wanauza kiac gani?so nicky u mean hawa wa2 wanauza huawei modems only?
 
Kinachosumbua kwenye hii modem ta Tigo haina IMEI....sasa kuna kasoftware kadogo cha kusoma kwanza IMEI then unatumia ile HUAWEI unlocker calculator ambayo utaingiza hiyo IMEI na Model number...............Nitaweka hapa full maelezo baadae kidogo.

pls kaka we are waiting kwa muwashawasha usisahau kuweka na hako kasoftware.
 
ohky.kwani hawa tigo modem zao hasa wanauza kiac gani?so nicky u mean hawa wa2 wanauza huawei modems only?

Mkuu nilizoziona mm ni za Huawei, kama ziko za ZTE au model nyingine itakuwa sijaiona.... Ila Modem nyingi kwa hapa bongo ni za Huawei au ZTE
 
Wakuu,
Kwenye kuchakachua Modem ya tiGO kazi ni nyepesi tu, ni hatua tatu tu modem yako itakuwa unlocked... fata maelezo yangu hapa chini, mstari kwa mstari.

1. Install hiyo Modem kwenye computer yako. Ni vema line ya Tigo iwe ndani.

2. Download hilo attached file (chini ya hii post), then li-unzip........ ukili-unzip utakuta vi program viwili, Modem Code Writerna Universal master code.
Anza na kufungua Modem Code Writer. Ni ka aplication simple tu, katakusaidia kusoma version ya software ya hiyo modem na IMEI yake. Tunacho hitaji sisi hapo ni IMEI tu.

Ukikafungua hako ka-aplication (Modem Code Writer) katatokea ka-window, na kwa chini kuna mistari miwili, mmoja umeandikwa Please select Com Port na mwingine umeandikwa Unlock Modem.
Click kwenye Please select Com port , then select Detect, hapo itatokea Port number modem ilipo, ichague hiyo Port na then click accept and then click Unlock Modem
Kama uliinstall modem yako vizuri na ukafata procedure zote, Kutatokea vitu vifuatavyo; Model namba ya Modem, software version na IMEI vitakuwa displayed kwenye hako ka-window, (hiyo IMEI tutaitumia kwnye step ya tatu hapo chini)......... na kitu cha pili katatokea ka-window kengine kadogo pembeni kenye sehemu ya kuingiza unlock codes(8 digits).... most cases kanakuwa na 8 zeros (00000000). Ukifika hapo simama kidogo, nenda hatua ya tatu.

3. Sasa fungua Universal Master Code..... kwa pale juu chagua Manufacturer wa modem yako (Nyingi ni Huawei).......Copy sasa hiyo IMEI tuliyoipata kwenye kale kawindow ka hapo step namba 2, na paste hapo kwenye sehemu ya kuweka IMEI then click Calculate..........Kulia hapo utaona Unlock code na Flash code......Copy hiyo Unlock code........Sasa rudi pale tuliposimama kwenye step 2, ka-paste hiyo unlock code kwenye kale kawindow kenye zero-zero, futa zile zero-zero weka hizo Digit nane za unlock code then click Unlock Modem......After few seconds itakwambia unlock success full.... hapo kazi itakuwa imekwisha, chomoa Modem yako weka line yoyote kuitest... Kazi itakuwa imekwisha!!!

Attachments

  • Modem Unlocker.zip
    664.7 KB · Views: 120
Tayari ninazo modem tatu za tiGO, ndio nataka ni fuate maelekezo ya Nick nione inakuwaje... Hata hivyo IMEI zake wameniandikia kwenye risiti, so sijui kama ndio ze nyewe au ndio usanii wa kufuwekea IMEI fake kwenye risiti ili tusi chakachue vimodem vyao...Nitakuja na Feedback punde.
 
Code:
There are currently 4 users browsing this thread. (2 members and 2 guests)
[LIST]
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/members/mganyizi.html"]Mganyizi[/URL]
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/members/venigan.html"]VeniGan[/URL]
[/LIST]
 
Tayari ninazo modem tatu za tiGO, ndio nataka ni fuate maelekezo ya Nick nione inakuwaje... Hata hivyo IMEI zake wameniandikia kwenye risiti, so sijui kama ndio ze nyewe au ndio usanii wa kufuwekea IMEI fake kwenye risiti ili tusi chakachue vimodem vyao...Nitakuja na Feedback punde.

Mkuu IMEI iliyoandikwa kwenye risiti unaweza ukaiona ukifungua mfuniko wa Modem,...kama ni tofauti na kwenye risiti basi ni typing error tu.
Nimetumia hiyo Modem code writer kudect IMEI, imetoa namba sahihi na hizo zilizoandikwa
 
Ni kweli mkuu... Nimefanikiwa kuzichakachua kirahisi kama vile kumsukuma mlevi... Ubarikiwe sana mkuu. Nimeweka line ya voda inafanya kazi vizuri tu na ya Airtel nimeweka imekubali, ila sijatumia net yake kwani sijaisajili line yake bado.

Pia hizi modem unaweza kuzitumia kama flash disk kama ukiweka memory.
 
Tuko pamoja mkuu......
 
itabidi nikanunue mapema hi ki2.maana dah,cyo cri mimi ninatumia ya voda zte,inaleta karaha,nikieka lain tofauti na voda,kama vile airtel,inabidi nieke kwenye simu ndo nirecharge,cz joinair huwezi ku cal.so guys kwa aliyetest je ukishachakachua,inakubali lain zote kucal n kusend message?n wht z da default speed ya hz modem zao?yaani max speed modem inaweza kuhandle?
 
Back
Top Bottom