Nimeipata.Mganyizi vipi nione na mimi kwa Zantel tayari nilisha kurushia PM
Hi Nicky / Muganyizi
Hiyo software haifunguki tena mkuu!!
Napata ujumbe ufuatao:
1. Unexpected end of archive;
2. Nikijaribu tena napata msg: archive in unkonwn format or is damaged.
Tafadhali iangalie na uturekebishie ... natanguliza shukurani.
Wakuu, nimejaribu ku download lakini ninapoli unzip ina kuja msg hii "Cannot open file:It does not appear to be a valid archieve. if you download this file , try downloading the file again" Nimejaribu ku re download lakini sijafanikiwa! Nifanyeje?
Hazilingani kabisa na za voda, speed yake sio nzuri, halafu ukiidondosha inaweza kupasuka.this modem do zinakubali kuchakachulika!!
ila najiuliza mbona ni rahisi price yake?
je ni kweli hizi ziko bomba?i mean kiumara ukilinganisha na zile za voada?
Mkuu ngoja ni lipandishe upya, jaribu tena baada ya dakika kadhaa.ukiona hivyo ujue wameshashtukia hao duh
Uncle Rucus,
Nimedownload hiyo software na kufungua hiyo modem code writer. Niki select "detect"; haionyeshi chochote ...(haionyeshi port number) kama maelezo hapo juu yanavyosema.
What to do now? Naomba ushauri tafadhali
Modem yako iko connected kwenye computer yako? Je kama ni ndiyo unaweza kutumia internet kwa hiyo line iliyoko ndani? Ukiselect 'detect' kuna ka menu cha orodha ya port ambapo itakayo kuwa imechomekwa modem ndiyo utapaswa kuiselect...
Mkuu,
Nimekwenda a step further hadi nikapata unlock codes and flash codes.
Ila niki copy hizo unlock codes na kuziweka ktk kibox hicho kidogo (chenye 8 zeros), na ku- command "unlock" ... inaleta jibu la ERROR
NI niaje bana nilikuwa nafuatilia post zenu na nikaona tatizo lako na nafikiri ninaweza kukuelekeza sasa hyo inatokea hivyo kwasababu... kuna mawili
1. umekosea unlocking code hebu ichk imei yako vizuri na ujaribu tena kwny huawei universal code calculator na upaste na utest tena kwny code writer.
2.hii sidhani kama litakuwa ndo sababu lakini ngoja nielezee... kwny hzo modem za huawei ukitaka kunlock ili ziweze kutumia netwk zingine unaweka code ili uzinlock... sasa vile vile ina limitations ambzo ni mara 10 ukifika mara kumi ukiwa kila saa unakosea code inajilock moja kwa moja na hautaweza kutumia code writer kunlock ila kuna program zipo ambazo inaitwa huawei datacard unlocker hii kazi yake ku unlock modem iliyojifunga baada ya kukosea unloking code kwa mara kumi lakini vile vile sio kwamba inakuwa huwezi kutumia modem yako noo unaweza sema inakuwa moja kwa moja locked na compuni ya simu ulioipewa so utatumia kwa mtandao wao tu.....
LINK ya kudownload hio prog ni hwe_datacard_unlocker.exe - 4shared.com - online file sharing and storage - download apo utona button ya blue imeandikwa download now utaiclick utasubiri kdogo mara utapewa mdaa wa kusubiria halafu utadownload na usihofu na kuhakikishia kuwa sio kirus kwa sababu antivirus zingine itaiona kama kirusi lakini sio kirusi... na kama itatokea ikaonekana kama kirusi zima antivirus na download tena tumia kuunlock na uiwashwe tena.... ni rahisi sana kutumia sema kumbuka kutoa line usiunlock na lyn ndani utona tu button ya connect device na automatically itafanya mpaka mwisho cha kuzingatia tu usione error basi na kujua kama imelunlokiwa kuna mstari utaona maelezo haya"(10 tried 0 left kama bado haijaunlokiwa na kama taayari utona"(0 tried, 10 left)" ukishaona hvyo bac sasa rudi tena katika zile process za mwanzo kwny code writer na sasa ukishaingiza code na k clik utona SEND OK sio ERROR tena apo 100% UMEFANIKIWA kuunolock HUAWEI MODEM YAKO KUUTUMIA MTAMDAO WOWOTE DUNIANI na ni process hvyo hvyo kwa HUAWEI MODEM ZOTE MODELS HZ MPYA ZENYE MFUMO KAMA FLASH
NI niaje bana nilikuwa nafuatilia post zenu na nikaona tatizo lako na nafikiri ninaweza kukuelekeza sasa hyo inatokea hivyo kwasababu... kuna mawili
1. umekosea unlocking code hebu ichk imei yako vizuri na ujaribu tena kwny huawei universal code calculator na upaste na utest tena kwny code writer.
Tatizo mnakuja na kusema imegoma pasipo kuelezea njia mlizo zitumia ku-unlock, inakuletea msg gani unapo jaribu kuchakachua? na umetumia software ipi?