Modem za tiGO zina chakachulika?

mzee hili neno mpwa manaake nini?yeah airtel napata 3g hapa,ila tgo napata 2g,hii 3g ya tgo naisikia kwa watu 2.
Mtoto wa mjomba,or ndugu..... Mkuu kama upo nje ya mji huwezi kupata 3G ya tiGO.
 
wakuu kwa sasa zantel wapo kwenye mabadiliko wa mitambo ndiyo maana unaona speed ya zantel ipo slow more....wakuu TTCL wametoa modem za za banyuka wanacharge kwa mda kuna mtu yoyote mwenye info kuhusu modem za TTCL
 
jamani naombeni utofauti kwa waliotumia hizi modem katika upande wa speed unapokuwa katika mtandao wa EDGE kati ya modem ya tigo,voda na zain.
 
jamani naombeni utofauti kwa waliotumia hizi modem katika upande wa speed unapokuwa katika mtandao wa EDGE kati ya modem ya tigo,voda na zain.
modem ya voda iliyochakachuliwa na kuwekwa line ya Airtel kwenye EDGE iko na speed nzuri.
 
Wakuu,
Kwenye kuchakachua Modem ya tiGO kazi ni nyepesi tu, ni hatua tatu tu modem yako itakuwa unlocked... fata maelezo yangu hapa chini, mstari kwa mstari.

1. Install hiyo Modem kwenye computer yako. Ni vema line ya Tigo iwe ndani.

2. Download hilo attached file (chini ya hii post), then li-unzip........ ukili-unzip utakuta vi program viwili, Modem Code Writerna Universal master code.
Anza na kufungua Modem Code Writer. Ni ka aplication simple tu, katakusaidia kusoma version ya software ya hiyo modem na IMEI yake. Tunacho hitaji sisi hapo ni IMEI tu.

......



Hi Nicky / Muganyizi

Hiyo software haifunguki tena mkuu!!

Napata ujumbe ufuatao:
1. Unexpected end of archive;
2. Nikijaribu tena napata msg: archive in unkonwn format or is damaged.

Tafadhali iangalie na uturekebishie ... natanguliza shukurani.
 
Hi Nicky / Muganyizi

Hiyo software haifunguki tena mkuu!!

Napata ujumbe ufuatao:
1. Unexpected end of archive;
2. Nikijaribu tena napata msg: archive in unkonwn format or is damaged.

Tafadhali iangalie na uturekebishie ... natanguliza shukurani.

Tutaifanyia kazi mkuu, umejaribu kudownload kwenye post ya kwanza? Maana nimei-upload jana.
 
Hiyo poa sana, mimi ninayo ya zantel hiyo haifanyiwi mambo na mimi nifurahie bure japo gharama!!!!!
 
Back
Top Bottom