Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Nauliza hivi wadau kwani ni lazima kwa video queen au model kuvaa nusu uchi?
Hawa watu wanaleta vichocheo vya ngono na ubakaji inabidi serikali iwatazame kwa jicho la 3 wanaharibu utamaduni wa Kitanzania
Kama ukahaba umepigwa marufuku basi na hawa video queens/models nao wapigwe marufuku manake hawana tofauti na machangudoa