MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,052
- 749
Hapo gigy mbona kavaa vazi la heshima sana,mchupi wote huo? Saa nyingine hata [emoji356] [emoji357] havaagi Gift!!
Aaaaaaah daaah kwa nini nimefungua hapa daaah tayar nimeshapata akshi, hebu ngoja nimpigie wangu sim nyumbani ajiandae kabisa maana mmeshanipotezea mudi kabisa ya kufanya kazii , narudi Home faster![]()
![]()
Nauliza hivi wadau kwani ni lazima kwa video queen au model kuvaa nusu uchi?
Hawa watu wanaleta vichocheo vya ngono na ubakaji inabidi serikali iwatazame kwa jicho la 3 wanaharibu utamaduni wa Kitanzania
Kama ukahaba umepigwa marufuku basi na hawa video queens/models nao wapigwe marufuku manake hawana tofauti na machangudoa