niwaellyester1
Senior Member
- Sep 7, 2010
- 123
- 19
nimeshindwa topic yangu niiweke wapi , ila mie naomba ushauri wa masuala ya modeling ,yaani napenda sana modeling na hata umbo langu naona linaruhusu pia , nina 21yrs, ni mwanachuo, kwa sasa niko mwanza , wakati mwingine huwa nakuwaga dar au mtwara, naomba ushauri nianzie wapi kupeleka kipaji changu