Model aliye-play kwenye video hizi anaitwaje?

Model aliye-play kwenye video hizi anaitwaje?

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
63,861
Reaction score
97,804
Kuna Male Model amecheza kwenye video hizi,yupo wapi?
1.Crazy GK-Sister Sister
2.Aman-Missin my baby
3.Lady JayDee-Usiusemee Moyo
 
Yupo Dar anakampuni yake ya media,kama wamwitaji kikazi tuwasiliane nikukutanishe nae. Anaitwa Adam
 
Yupo Dar anakampuni yake ya media,kama wamwitaji kikazi tuwasiliane nikukutanishe nae. Anaitwa Adam

Kuna Kazi moja nataka nifanye nae ya Tangazo,ishatiki fresh nipo katika hatua za mwisho za mikataba then ntakutafuta
 
arifu mie nimekuja kasi....kumbe jamaa anaulizia vitu vya ajabu ajabu..

Mazereu hayo yo yo,kwani wa africa hatuna thamani? Nyie mnaowaona wazungu ndo wa maana,ushawahi kukutana na mzungu omba omba dar? "Nakwambia sipendi dharau"-Barnaba
 
Back
Top Bottom