Mod uchwara nakungoja

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Posts
8,552
Reaction score
2,387
Unakuja na ID nyingine una provoke watu kisha unatoka faster kwenda kuwaadhibu, kama huwa inakupa comfort ukini provoke, sitaacha kukujibu kwa kiwango kinachostahili...sasa fanya kazi yako unayoipenda BAN.
 
ana maana yake... hakuna hallucinations
 
duh noma mazee..kama kweli kuna mod wa namna hii,naye itabidi ale ban tu
 
Im confused ipo hii? :smash: :smash: :smash:
 
Jamaa amejuaje kama mods wana IDs nyingi nyingi?
Na wanawachokoza watu ili iweje?
mi siamini.
 
Ni mapovu tu yasiyo na sababu!

Kama unaongea hovyo hutaachwa!...Sijakumbana na Mod anayeprovoke watu!
Kuongea jambo sensitive bila kuweka ushahidi hadharani ni kupayuka!
 
Ni mapovu tu yasiyo na sababu!

Kama unaongea hovyo hutaachwa!...Sijakumbana na Mod anayeprovoke watu!
Kuongea jambo sensitive bila kuweka ushahidi hadharani ni kupayuka!

ushahidi ni wewe mwenyewe, chunguza posts zako nyingi, mnajisahau wakati mwingine au mnatufanya mapunguani?
 
ushahidi ni wewe mwenyewe, chunguza posts zako nyingi, mnajisahau wakati mwingine au mnatufanya mapunguani?
Bwa-Mdogo, chunga kauli zako...usiwatafute watu ubaya, right?....Warned!
 
huyu Nduka ndio huyo huyo Mohamed Shossi?:hatari:
 
huyu Nduka ndio huyo huyo Mohamed Shossi?:hatari:

Mkuu sheria za JF si unazijua kuhusu majina bana? nitachukua nafasi yangu ya u mod niku ban faster..lolz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…