Mobile tracker - simu imeibiwa sa 5:07pm ikapatikana saa 8:49

dah...kare kaliest!! mimi kimeo changu ni n9300i ya 2006 itafaa kweli wakuu?
 

Mkuu Sharobalo, niambie ni aina gani hiyo ya Samsung??
 
paulss alishawahi fanya hivi pia akapata simu yake
 
Mimi niliibiwa simu tangu mwaka jana na mpaka leo sijaipata,ila kila ikibadilishwa line msg inanijia,nikipiga hiyo namba jamaa ananitishia uchawi anadai yupo sumbawanga!!
 
​Labda nitaikumbuka nitakapoanza kutumia samsung. Eti mkuu, kwenye madude ya Steve Jobs hii ipo pia?
 
Labda nitaikumbuka nitakapoanza kutumia samsung. Eti mkuu, kwenye madude ya Steve Jobs hii ipo pia?

Mimi anijuze mwenye iphone,rafiki yangu anayo,nina Samsung 3212 na siioni hiyo application,na Nokia C6-00,nayo sijui niende wapi for hiyo service.
 

Mkuu natumia Ideos naomba unielekeze jinsi ya kuweka hiyo kitu
 
Sihitaji qamusi nishaaktiveti tracker yangu!
 
Mkuu tunashukuru kwa ushuhuda wa Mobile tracker ila kwa wajuzi hiyo siyo issue kabisa, siwezi kufafanua hapa ni jinsi ya kutegua hiyo mobile tracker kwa sababu yawezekana wezi tunao humuhumu, ila kwa mtoa ushuhuda nitaku PM ili ufahamu.
 
Kwa mwizi kaingia mwizi! Looh!

 
Mimi niliibiwa simu tangu mwaka jana na mpaka leo sijaipata,ila kila ikibadilishwa line msg inanijia,nikipiga hiyo namba jamaa ananitishia uchawi anadai yupo sumbawanga!!

Ahahahahhahahahaahahhaaaa! Daaah! Atakupiga radi huyo achana nae kabisaa!
 

Hahahahaha, mbavu zangu mie...nimeupenda sanaa huo mkwara dah nyie nouma...
 
kama unatumia sim za adroid ina application mpaka inaonesha sim yako kwenye ramani na satalaiti view inaitwa "where's my droid" utaipata kwenye market.

kwa nokia ingia ovi store natafuta F-secure ni nzuri mno.
 
Duh kweli sharobaro ni exceptional....
 
You made my dawn! lol! yaani nilipoona kwamba mumewageukia na kuwakwapua hizo 50 thous nikashindwa kujizuia! hehehehe whats goes around will always come back around, ref Biyonce
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…