Mobile Data ni cheap sana Tanzania!

Mobile Data ni cheap sana Tanzania!

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,701
Reaction score
2,613
Tufananishe bei za Mobile Data za Tanzania na AT&T Marekani

AT&T za data ni kama ifuatavyo
Kwa smartphones:

AT&T Data Plus 300MB: $20 for 300MB (31,600/=)
AT&T Data Pro 3GB: $30 for 3GB (47,400/=)
AT&T Data Pro 5GB: $50 for 5GB, with mobile hotspot / tethering (79,000/=)

Kwa Tablets:
AT&T DataConnect 3GB: $30 for 3GB (47,400/=)
AT&T DataConnect 5GB: $50 for 5GB (79,000/=)

Vodacom Tanzania
500 MB -----> 8,000/= $5
2GB -----> 10,000/= $7
5GB -----> 20,000/= 13 Dollars!! Data inayograrimu $50 AT&T Marekani!
Ongezeko la 284%

Kwa ushahidi huo natoa hoja kuwa Data Tanzania ni cheap sana,
anayepinga aweke vigezo vyake.

Tatizo la TZ ni kuwa TTCL hawajafanya vizuri kwenye kusambaza landline broadband ambayo ndo inatakiwa ibebe mzigo mzito wa downloading na streaming, sema sisi tunategemea mobile kwa kila kitu.

uchumi wa tanzania huwezi kulinganisha na marekani au uingereza kwenye hiyo mitandao, dola moja ni mara 1600 ya shilingi ya tanzania, halafu tuchajiwe sawa au wao wachajiwe kama sisi si itakuwa bure...

pili, umahiri wa internet na technolojia ya wenzetu huwezi linganisha na sisi, huku internet kimeo mitandao yooote labda voda wamejitahidi ila wengine hamna kitu hapa...

angalia kwa mtazamo huo,
 
Mkuu C6 Ni kweli ulivyosema hata uchumi wa nchi za Jumuia ya Ulaya tofauti kabisa na uchumi wa nchi za Afrika huwezi kufananisha Uchumi Nchi za ulaya na nchi za Afrika kimaendeleo Au Uchumi wa nchi ya Maekani ukafananisha na uchumi wa nchi za Afrika ni vitu viwili tofauti kabisa asante mkuu kwa darasa lako.
 
Tufananishe bei za Mobile Data za Tanzania na AT&T Marekani

AT&T za data ni kama ifuatavyo
Kwa smartphones:

AT&T Data Plus 300MB: $20 for 300MB (31,600/=)
AT&T Data Pro 3GB: $30 for 3GB (47,400/=)
AT&T Data Pro 5GB: $50 for 5GB, with mobile hotspot / tethering (79,000/=)

Kwa Tablets:
AT&T DataConnect 3GB: $30 for 3GB (47,400/=)
AT&T DataConnect 5GB: $50 for 5GB (79,000/=)

Vodacom Tanzania
500 MB -----> 8,000/= $5
2GB -----> 10,000/= $7
5GB -----> 20,000/= 13 Dollars!! Data inayograrimu $50 AT&T Marekani!
Ongezeko la 284%

Kwa ushahidi huo natoa hoja kuwa Data Tanzania ni cheap sana,
anayepinga aweke vigezo vyake.

Tatizo la TZ ni kuwa TTCL hawajafanya vizuri kwenye kusambaza landline broadband ambayo ndo inatakiwa ibebe mzigo mzito wa downloading na streaming, sema sisi tunategemea mobile kwa kila kitu.

Haya umeeleweka sasa njoo na vipato vyao(usa na tannzania)
 
kweli data in tz ni cheap hata uki compare na kenya na uganda sisi internet ni cheap
 
Uchumi ni irrelevant, umaskini wetu haubadilishi cost za kuprovide service na kununua na kuendesha mitambo, tena kwa kukosa infrastructure cost zinaweza zikawa ni kubwa zaidi.
 
Mkuu hapo umepotea mahesabu.

Gharama za data Tanzania ni ghali Mara 330 ukilinganisha Na za US.

Hii inatokana Na uwezo Wa wananchi hawa Wa kununua yaani purchasing power. Mmarekani ana purchasing power kubwa Sana ukimlinganisha Na mtanzania.

Mfano rahisi ni huu hapa:

Kima cha chini kabisa cha mshahara Wa mmarekani ambaye hana skills au profession yoyote ni wastani wa dola 7.5 kwa siku na Kwa mwezi ni kadri ya dola 1600. Akiamua kutumia kifurushi cha 3gb (dola 30) kwa sababu anaangalia Na tv on line atakuwa ametumia asilimia 0.02 ya mshahara wake. Na mtanzania kima cha chini tsh 150,000 kwa mwezi akiamua kutumia kifurushi cha 2gb ambacho ni Tsh 10,000 atakuwa ametumia asilimia 6.67 ya mshahara wake.

Hii inamaana kwamba mtanzania kwa kulipia gb 2 amejikamua sana kwa kutumia hadi asilimia karibu 7 ya mshahara wake ambapo mmarekani amepata bundle zaidi kwa kutumia asilimia 0.02 tu ya mshahara. Tena hawa wamarekani nazungumzia vibarua tu ambao ndio wenye huu mshahara. watumishi Wa maofisi wanaanzia Kama dola 2,000 kwa mwezi, walimu dola 3,000 Na madaktari ndio usiombe, kuanzia dola 8,000.

Sasa hapo Mkuu utasemaje bei za data bundle Tanzania ni nafuu!

Ukilinganisha 6.6 na 0.02 unakuta mtanzania anapunjika mara 330!

Tufananishe bei za Mobile Data za Tanzania na AT&T Marekani

AT&T za data ni kama ifuatavyo
Kwa smartphones:

AT&T Data Plus 300MB: $20 for 300MB (31,600/=)
AT&T Data Pro 3GB: $30 for 3GB (47,400/=)
AT&T Data Pro 5GB: $50 for 5GB, with mobile hotspot / tethering (79,000/=)

Kwa Tablets:
AT&T DataConnect 3GB: $30 for 3GB (47,400/=)
AT&T DataConnect 5GB: $50 for 5GB (79,000/=)

Vodacom Tanzania
500 MB -----> 8,000/= $5
2GB -----> 10,000/= $7
5GB -----> 20,000/= 13 Dollars!! Data inayograrimu $50 AT&T Marekani!
Ongezeko la 284%

Kwa ushahidi huo natoa hoja kuwa Data Tanzania ni cheap sana,
anayepinga aweke vigezo vyake.

Tatizo la TZ ni kuwa TTCL hawajafanya vizuri kwenye kusambaza landline broadband ambayo ndo inatakiwa ibebe mzigo mzito wa downloading na streaming, sema sisi tunategemea mobile kwa kila kitu.

Uchumi ni irrelevant, umaskini wetu haubadilishi cost za kuprovide service na kununua na kuendesha mitambo, tena kwa kukosa infrastructure cost zinaweza zikawa ni kubwa zaidi.

mkuu umeongea vyema.

Kwanza tujiulize internet ni ya nini?

Watu wamekremu kua internet ni leecher kua all the time ntatoa hela yangu ya mshahara ninunue internet lakini katika other side internet inaweza kua seeder ikawa internet ndio source ya kipato changu je mtanzania na mmarekani bora nani?
Hebu tuone mifano

1. Kuna apps za android kila ukidownload unalipwa hela 0.25 usd haijalishi unatoka sehemu gani duniani je nani ana faida? Mmarekani internet yake ghali yangu rahisi then pay tunapata sawa at the end wao life cost kubwa sisi lifecost ndogo.

2. Nimeajiriwa website ya ulaya tupo wafanyakazi wa bongo na wamarekani wote tunalipwa mshahara mmoja na output zetu zinafanana lakini ye katika mshahara wake anatoa hela nyingi kwenye net kuliko mimi

3. Nimehost server tanzania nauza space online au nimefungua webhosting service tanzania then kuhost nauza 1 gb ya space kwa dola 10 kwa mwaka. Na mtu marekani nae kafanya hivyo hivyo na server zinahitaji net ya ukweli je nani kampiga bao mwenzake?

So muangalie na side ya internet kama cost of production na msiichukulie kama luxury tu kwamba mtu anatoa tu
 
Yeah. Mie pia nakubali gharama za net ni cheap hapa tz.
 
Kwa mtazamo huo itabidi tulinganishe pia bajeti ya mbwa wa huko Marekani na mbwa wetu tunaowafuga huku ,ni yupi ambaye ni rahisi kunfuga na ni kwa nini?kulinganisha matumizi ya intaneti kwa Marekani na bongo ni sawa na kulinganisha mbingu na nchi
 
Ushahidi zaidi!

Kenya Safaricom
500 MB -> 500 KES (9,100 TZS) Bongo hii unapata kwa 8,000/=
1.5 GB ---> 1000 KES (18,300 TZS) Bongo kwa 10,000/= Unapata 2 GB! full speed kisha as much as you can download kwa siku 7, ambayo niligonga kama 15GB, 15GB kwa 10,000/= !! kweli Data imekuwa cheap Bongo.
 
uchumi wa tanzania huwezi kulinganisha na marekani au uingereza kwenye hiyo mitandao, dola moja ni mara 1600 ya shilingi ya tanzania, halafu tuchajiwe sawa au wao wachajiwe kama sisi si itakuwa bure...
pili, umahiri wa internet na technolojia ya wenzetu huwezi linganisha na sisi, huku internet kimeo mitandao yooote labda voda wamejitahidi ila wengine hamna kitu hapa...
angalia kwa mtazamo huo,

naku-challenge,jamaa tayari amesha-convert ussd to tshs na tshs to ussd,so comparison ni sahihi ila labda tukizungumzia upande wa ubora wa huduma ambapo nakubaliana na wewe,kwa upande wa consumers kati ya m-us na m-tz anyeumia zaidi ni nani,hapo ni lazima purchasing power parity(ppp) ifanyike,kwa hiyo naona kama bado tanzania tuna unafuu,unasemaje kuhusu hlo?
 
Back
Top Bottom