Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,331
- 2,284
Fact mkorinto, kutulia katika biashara ni Jambo la muhimu kuliko kila kitu, unaweza fungua hundreds of product line....na watu Waka take advantage, scaling ktk business inahitaji umakini, nampongeza Sanaa MO mfanyabiashara mwenye vision Tanzania ila Sasa nahisi watu inside MO enterprises wanamhujumu, ukiangalia si mafuta tu Hadi bidhaa Kama sabuni Tena hizi za maji za kuoshea vyombo ni Kama wana wanakusanya makopo na au seal then wanaweka sokoni, nafaka nazo the same thing.MO yuko vizuri kwenye biashara zake, lakini mara nyingi naona hatulii kabla hajaamua kuanzisha jambo. Labda pressure ya ushindani.
Sasa mafuta kweli uyafunge namna hii mtu makini ayanunue kweli!!!! Wakati hata hayo yenye seal wahuni wanakata, wanafyonza wese vikombe kadhaa, kisha wanafunga tena seal.
Wahindi huwa siamini bidhaa zao, bora hata ya Bakhresa....
Wajanja wajanja sana hawa. Na mara chache sana kuwakuta wanatumia bidhaa zao.ushishangae ana kiwanda cha maji au juice ila huikuti nyumbani kwake hata siku moja. Huko anakunywa za nje.
Kweli kabisa.Bidhaa za MO zote ni za kubabaisha mwepesi wa kuiga na kusahau viwango
Yani Leo ndiyo kwanza tumewaza pamoja! Mo mjanja mjanja sana vitu vyake vingi ni vya ovyo na chini ya viwango.Bidhaa za MO zote ni za kubabaisha mwepesi wa kuiga na kusahau viwango
Kweli kabisa mkuu, lakini afya za watu ni muhimu sana kuliko huo ushindani wake, akila ban ataweza kushindana kweli?MO yuko vizuri kwenye biashara zake, lakini mara nyingi naona hatulii kabla hajaamua kuanzisha jambo. Labda pressure ya ushindani.
Sasa mafuta kweli uyafunge namna hii mtu makini ayanunue kweli!!!! Wakati hata hayo yenye seal wahuni wanakata, wanafyonza wese vikombe kadhaa, kisha wanafunga tena seal.
Kweli kabisa bora mtu apunguze kuliko kuweka sumu na kuumiza afya za watuYaani wanauza bidhaa nyeti kama hiyo bila seal?! Hii haiwezekani, ni bora mtu aibe lakini kuna wengine wanaweza wakaweka hata sumu humo, hi ni hatari sana!
Seal haizuii watu kufanya mambo,konyagi za uchochoroni zipo nyingi na hizo za uchochoroni zina seal kama kawa