Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 90,372
- 178,877
Hivi hizo hela huwa unampa nani? Mbona mimi hunipi?Arrggh ye shahidi namba moja
Hivi hizo hela huwa unampa nani? Mbona mimi hunipi?Arrggh ye shahidi namba moja
To be honest mwanamke naye mpenda huwa sina nguvu ya kumnyima pesaKama ulikua Unawapenda,unawakaza vizuri, unawafulia Chupi, unawapigia simu...lakini huwa HAUWAPI PESA...
Wewe ni LOFA tu na unastahili KUACHWA.
Sasa kwanini wakuache Mr Perfect?...To be honest mwanamke naye mpenda huwa sina nguvu ya kumnyima pesa