MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,560
- 41,509
Habari za siku nyingi humu jukwaani
Nipo kama sipo Ila siku zinaenda. Japo namiss zile siku nilizokua active sana humu
Kuna mambo nimeweza kuyabadilisha ila hili naloleta kwenu limenishinda haswa na sijui kama nataka kutoka
Iko hivi
Mimi nikipenda nampigia hata mara 20 kwa siku. Kila nikishika simu nataka either niongee nae au nichat naye kiufupi nataka niongee nae hata kama sina la kumwambia
Akiniomba hela nampa maana kuna siku nilijiuliza natafuta hela ili nizifanyie nini nikajua ili nitumie mie peke yangu siwezi kutumia mchumi sana Ila akiniomba nampa akatumie
Nikipenda kumfumania sitaki nikimuona kwa mbali yupo na mtu nampigia namuuliza upo wapi kisha namuambia aje nyumbani sitaki tabu
Nikipenda hata ukinidanganya halafu nikajua unanidanganya nasubiri mpaka ujue mwenyewe kwamba najua unanidanganya sitaki kujifanya mjuaji
Naamini kila anachoniambia. Watu wananiambiaga nimewekewa limbwata nawashangaaga wakati ndo mapenzi niliyoyachagua
Nikikuomba ushauri simaanishi unishauri nimuache bora usave huo ushauri siwezi kupoteza penzi langu halafu nikalie ndani peke yangu halafu ww haupo
Mapenzi siyo kitu cha mchezo kabisa
Hayo ndo aina ya mapenzi niliyoyachagua
Wasalaam...