Kwa hiyo watekaji walimkabidhi kwa walinzi?
Hiyo hadithi ya simu ya walinzi imekuja baada ya watu kuhoji kuhusu simu
Hongera kwa kuweza kutetea kibarua chako vizuriMkuu ukichoma moto gari ina maana unazalisha moto mkubwa ukiambatana na moshi na hapo inakua ni rahisi kugundulika hata na mtu aliye mbali.
Ina maana taarifa zilianza kusaambaa kuwa kapatikana hata kabla watekaji jawajamuachia kama ilivyoripotiwa kuachiwa saa saba usiku?, mmmh Tanzania ya viwanda!.Seat ya kwanza
Uwezo wako wa kutafakari ni mdogo Sana Kama wa mende.Tanzania, watekaji wanatoka nchi jirani wanataka hela hawasemi ni kiasi gani halafu wanakuachia wanakupa simu halafu wanaacha bunduki na kupotea
ha ha ha ha haNaunga mkono hoja. Ila nashangaa... sijui tulijuaje kama walikuwa na hiyo nia lakini wakaogopa!
hapo kwenye simu ilitoka kwa walinzi wa eneo umeitoa wapi? walinzi wa eneo la tukio uliwasiliana nao wakathibitisha kumpa simu?, je walichukua hatua gani za kiulizi na kiusalama kuhakikisha watekaji hawatoki eneo lile?, je alitupwa eneo lile pasipo walinzi kuona?, yebooo!Hapo kwenye red hiyo habari umeipata wapi mkuu?! Mo hakupewa simu na hao watekaji bali alipewa simu na walinzi waliokua eneo lile na kwa vile alikua na namba ya baba yake kichwani ndio akampigia.
Hawa sindo walishangilia kifo cha Ghadaff? Hawana lolote wana madoa kibao tena they have no moral carrier to open up their bloody-stinking mouth to us. Stupid cattle, cattle of America!!
Uwezo wako wa kutafakari ni mdogo Sana Kama wa mende.
1. Bunduki walizinunua/waliziandaa ili kufanikisha zoezi la kupata pesa. Kumbuka walifyatua risasi wakati wa zoezi la kuteka so maganda ya risasi yalichukuliwa na polisi. Kupitia hayo maganda ya risasi wataalam wa polisi wangebaini ni bunduki hiyo/hizo ndizo zilizotumika. Kwa wenye uelewa ni lazima wazitelekeze kwa lengo la kupoteza ushahidi. Hivyo kushindwa kufanikiwa kwa zoezi lao ndiyo ilikuwa ukomo wa kuwa na hizo silaha
2. Watekaji siyo waliyompa MO cm ya kuongea na nduguze bali RAIA wema waliyomuokota
3. MO hakuwa na cash money na ili ipatikane cash money ilikuwa ni lazima afanye mawasiliano kupitia hayo mawasiliano watu wa cyber wangebaini location na ingekuwa ni rahisi kuwakamata
4. Mipaka ya nchi ilifungwa so wasingeweza kutoka nje ya nchi ambako wangekuwa na Uhuru wa kufanya communication
Kwa mazingira hayo Kama una akili ya kupambanua mambo ilitakiwa uwasifu hao watekaji ya kuwa wana uelewa mkubwa Sana wa maswala ya kiupelelezi. Kwa kurumia uelewa huo wamefanikiwa mukwepa mbinu zote za kukamatwa wao sambamba na kukamatwa na vielelezo[/QUOTHuna hata haya usoni,dahhh!
Hawa sindo walishangilia kifo cha Ghadaff? Hawana lolote ana madoa kibao tena they have no moral carrier to open up their bloody-stinking mouth to us. Stupid cattle, cattle of America!!
Matukio ya TanzaniaTanzania, watekaji wanatoka nchi jirani wanataka hela hawasemi ni kiasi gani halafu wanakuachia wanakupa simu halafu wanaacha bunduki na kupotea
Wanahofia fedha zao walizo wekezaNyani Ngabu hii habari imetikisa kuanzi Latin America , Australia , Canada, hapo EU na mashariki ya kati. Hii kitu ina impact sijui ni kwa namna gani lakini ni habari ya mijini huko duniani
Babu basi vitu vingine ni kumezea tuNaunga mkono hoja. Ila nashangaa... sijui tulijuaje kama walikuwa na hiyo nia lakini wakaogopa!
Hivi wewe kilaza unapajua Gymkhana unapasikia? Gymkhana saa moja tu usiku panatisha kupita na hapo ukipita muda huo unaweza usipishane na mtu mpaka unafika maeneo ta ubalozi sikumbuki vizuri kama ni wa Sweden, Finland au Denmark acha kujifanya mjuaji kwa vitu usivyovijua professional hitmen/kidnappers hawawezi kufanya vituko kama hivyo taarifa zinadai 1 september hakuna gari yenye namba ile na usajili ule liliiingia TanzaniaUwezo wako wa kutafakari ni mdogo Sana Kama wa mende.
1. Bunduki walizinunua/waliziandaa ili kufanikisha zoezi la kupata pesa. Kumbuka walifyatua risasi wakati wa zoezi la kuteka so maganda ya risasi yalichukuliwa na polisi. Kupitia hayo maganda ya risasi wataalam wa polisi wangebaini ni bunduki hiyo/hizo ndizo zilizotumika. Kwa wenye uelewa ni lazima wazitelekeze kwa lengo la kupoteza ushahidi. Hivyo kushindwa kufanikiwa kwa zoezi lao ndiyo ilikuwa ukomo wa kuwa na hizo silaha
2. Watekaji siyo waliyompa MO cm ya kuongea na nduguze bali RAIA wema waliyomuokota
3. MO hakuwa na cash money na ili ipatikane cash money ilikuwa ni lazima afanye mawasiliano kupitia hayo mawasiliano watu wa cyber wangebaini location na ingekuwa ni rahisi kuwakamata
4. Mipaka ya nchi ilifungwa so wasingeweza kutoka nje ya nchi ambako wangekuwa na Uhuru wa kufanya communication
Kwa mazingira hayo Kama una akili ya kupambanua mambo ilitakiwa uwasifu hao watekaji ya kuwa wana uelewa mkubwa Sana wa maswala ya kiupelelezi. Kwa kurumia uelewa huo wamefanikiwa mukwepa mbinu zote za kukamatwa wao sambamba na kukamatwa na vielelezo
Sasa unajiuliza uchome gari gymkhana kwanza nani alimwambia walitaka wachome gariAfu wanataka kuchoma gari moto lakini wanaogopa...
Walinzi hawakuliona gari linaachwa watu wanakimbia?Hapo kwenye red hiyo habari umeipata wapi mkuu?! Mo hakupewa simu na hao watekaji bali alipewa simu na walinzi waliokua eneo lile na kwa vile alikua na namba ya baba yake kichwani ndio akampigia.
Kwa hiyo mipaka ya nchi sasa hivi imefunguliwa baada ya Mo kupatikana ndio maana hamjawapataUwezo wako wa kutafakari ni mdogo Sana Kama wa mende.
1. Bunduki walizinunua/waliziandaa ili kufanikisha zoezi la kupata pesa. Kumbuka walifyatua risasi wakati wa zoezi la kuteka so maganda ya risasi yalichukuliwa na polisi. Kupitia hayo maganda ya risasi wataalam wa polisi wangebaini ni bunduki hiyo/hizo ndizo zilizotumika. Kwa wenye uelewa ni lazima wazitelekeze kwa lengo la kupoteza ushahidi. Hivyo kushindwa kufanikiwa kwa zoezi lao ndiyo ilikuwa ukomo wa kuwa na hizo silaha
2. Watekaji siyo waliyompa MO cm ya kuongea na nduguze bali RAIA wema waliyomuokota
3. MO hakuwa na cash money na ili ipatikane cash money ilikuwa ni lazima afanye mawasiliano kupitia hayo mawasiliano watu wa cyber wangebaini location na ingekuwa ni rahisi kuwakamata
4. Mipaka ya nchi ilifungwa so wasingeweza kutoka nje ya nchi ambako wangekuwa na Uhuru wa kufanya communication
Kwa mazingira hayo Kama una akili ya kupambanua mambo ilitakiwa uwasifu hao watekaji ya kuwa wana uelewa mkubwa Sana wa maswala ya kiupelelezi. Kwa kurumia uelewa huo wamefanikiwa mukwepa mbinu zote za kukamatwa wao sambamba na kukamatwa na vielelezo
Naona umempigisha shoti jamaaLabda unambie walitaka kuwasha gari moto halafu wakae waote hapo ndo ntakuelewa.huu ni utetezi ambao hauna mashiko.