MO,MANJI,BAKHRESA MSIBA HAMJAUSIKIA

Waacheni jamani Wanaogopa kutekwa labda....watz wasijekosa ajira bure
 
Tusi judge..watu hao ulowataja sio wa Social media na ni watu ambao hata kuonekana kwao ni mpaka waamue wenyewe so Huwezi kujua..JAPO.................
Labda Manji na Bakhresa lakini Mo kila siku yuko mitandaoni na tweet zake za utata.
 
Ndio ujue Wahindi sio ndugu zenu wamekuja kutafuta hela tuu. Mengi alikuwa mpinzani wao mkubwa kubishara kwahiyo hawampendi. Awamu hii nafikiri Wahindi wanaisoma namba serikali zilizopita waliziweka mifukoni mwao. Walijua pesa itawalinda
Umeongea ukweli, Mengi kipindi cha Mkapa alipeta ila kipindi cha Jakaya ni Mo na Manji ndiyo walitesa, Ila kipindi cha huyu jamaa wahindi dizaini kama wamebanwa sana, Niliwahi kuandika uzi humu kuwa uenda Mengi akawa tajiri No. 1 endapo JPM atamaliza awamu zake zote 2..! JPM alimpa nafasi Mengi.
 
Acheni kununua products zao. Mlishawahi kusikia wapi wanahusika matatizo ya jamii hasa yakiwa ya wakristo?
 
Hapo mi nakukatalia kwenye misiba mikubwa watu wenye ushwishi ktk jamii ni muhimu watokee hata kusaini kitabu cha maombelezo
Katika uislamu Mazishi ni sehemu ya Ibada na yana taratibu zake za kufuata kama
Muislamu, PIA NI FARADHI INAYOJITOSHELEZA.
 
Utajuaje kama pole zimewafikia kwa email.
 
Hao mababu zao walikuwa wanamiliki watu weusi, kwao kufa ngozi nyeusi ni sawa kafa mbwa tu, ukweli ndio huo.
 
watu wanaishi kwa Code ... we tulia waachie mambo yao .. hao na wewe mnaishi dunia mbili tofauti ... na fasiri yako ya matukio kama haya ni tofauti sana na hao jamaa wanavyoya tafsiri
Hii ndio comment Bora ktk uzi huu.
 
Una kichaa
 
Mo alikua USA sijui kama amesharudi, Manji walikua maadui na Mengi, Bakhresa sijui nini kinaendelea.
Uadui wa manji na mengi wa kibiashara tu
 
Utume muwakilishi msibani!!!! Umekua taasisi!!!
 
Yani jf hadi raha, kwamba aache ujinga akafanye kazi... Unakuta jamaa ndo alowaajiri 80% ya ukoo wenu mzma hahahahaaa. Sijamakinika mkuu
Watanzania wengi watakufa na akili bikra zisizotumika Kwn wasipotoa salam za rambi rambi mait haitozikwa? Na kama wametoa privite, pamoja na yote ayo wakitoa wasitoe ww unapungukiwa na nn? Acha ujinga kafanye kazi
 
Waswahili tumezoea kuhesabiana nani alikuja na nani hakuja. Eti wa kwake tutamsusia. Ndemeti!
 
Utume muwakilishi msibani!!!! Umekua taasisi!!!
Ni aibu kubwa sana kuona mtu yupo hapa JF lakini hajui kuwa familia ni taasisi tena taasisi mama kabisa.

Sasa kama familia ni taasisi yawezaje kushindwa kuwakilishwa mahali na mwanafamilia mmoja?

Tumia akili jombaa sio unazikalia.
 
Acha kufundisha watu Table Manners ukubwani!
 
Jamaa usijifanye unaweza kujibu kila kitu vitu vingine kama uwezi jibu nyamaza kinywa, umejibu upuuzi mtupu Nawe ukipatwa na msiba (sio kua naomba iwe ivo) jamii inayo kuzunguka itatuma salam za rambi rambi pia. ..
 
Jamaa usijifanye unaweza kujibu kila kitu vitu vingine kama uwezi jibu nyamaza kinywa, umejibu upuuzi mtupuNawe ukipatwa na msiba (sio kua naomba iwe ivo) jamii inayo kuzunguka itatuma salam za rambi rambi pia. ..
Kwahiyo mimi nisijofanye najua kujibu kila kitu lakini wakati huo nawewe unajifanya unajua kujibu kila kitu!



Hebu fata mambo yako bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…