Mo Dewji tuachie timu yetu

Sipendangi mangese yaivi ivi umewahi kuchangia shingapi kwenye klabu? Mijitu ya ivi ata ukiyajibu ni kupoteza mda tu
Tena anasema tema ye2..najiuliza team yake yy na nan..yan sisi walala hoi uwa tunamatatz sana ww team inapata mafanikio unafurah tu unajua struggle iliyo behind..kama hujui shangilia au zomea basi..sio analeta.porojo eti hatuachie team yetu..wakisema hata alipie mfagiaji tu ataweza?..binadamu sisi kazi sana.
 
Nipo tu nimetulia hapa nakula🍿zangu huku nikiangalia namna Team Moo na Team Haji Manara wanavyo paruana!!

Eti wengine wanasema aje Yanga!! Yaani akiajiriwa Yanga yule mpuuzi, nahama timu kwa mara ya kwanza. Kwa matusi na kejeli zote zile!! Huo upumbavu hauwezi kufanywa na Kiongozi yeyote yule pale Jangwani.
 
Huyu nia yake ya kujimilikisha Timu ya Simba sasa imekua dhahiri.

Taarifa za ndani zinasema kuwa Dewj anawaondoa watu wote ambao wamekuwa kikwazo katika mkakati wake.

Huyu ametapatapa sana kutaka kumiliki timu, tangu Africa Lion ambayo ilimshinda na kuja Simba kwa mgongo wa udhamini.

Haji Manara ameondolewa makusudi. Mo Dewj alimtumia Babra ili amkoseshe amani Mnara, lengo walitaka Manara akasirike na kuongea maneno kwa hasira ili wapate njia ya kumchafua kwa Mashabiki.

Mo Dewji hataki kutoa Bilioni 20. Anamtumia Hawara yake Barbara kuomba mkopo kwa Bwana wake Dewji ili Baade waje kuzikat toka Bil 20

Niwakati sasa Mchakato wa mabadiliko urudiwe. Tunataka muundo uwe kama Yanga, hatutaki Muwekeaji Mmoja

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wewe mtopolo haya ya huku hayakuhusu. Jiandaeni kwenda kupokea wachezaji wenu wa mafungu
 
Mo Dewji Sisi wana Simba SC wenye Akili tunakupenda na ukiweza tuko tayari hata Kukumilikisha Timu yote ili uendelee kutupa Furaha ya Vikombe na Mafanikio.
Nyani wa pori la Utopolo baada ya kukosa ubingwa wanajaribu kuchochea mgogoro, pumbavu sana hawa viumbe
FB_IMG_1616853117648.jpg
 
20B anamlipa nani? Wewe unapata mgawo wowote?
Nipo tu nimetulia hapa nakulazangu huku nikiangalia namna Team Moo na Team Haji Manara wanavyo paruana!!

Eti wengine wanasema aje Yanga!! Yaani akiajiriwa Yanga yule mpuuzi, nahama timu kwa mara ya kwanza. Kwa matusi na kejeli zote zile!! Huo upumbavu hauwezi kufanywa na Kiongozi yeyote yule pale Jangwani.
Mpira ni sawa na siasa, hakuna uadui wa kudumu yahe
 
Huyu nia yake ya kujimilikisha Timu ya Simba sasa imekua dhahiri.

Taarifa za ndani zinasema kuwa Dewj anawaondoa watu wote ambao wamekuwa kikwazo katika mkakati wake.

Huyu ametapatapa sana kutaka kumiliki timu, tangu Africa Lion ambayo ilimshinda na kuja Simba kwa mgongo wa udhamini.

Haji Manara ameondolewa makusudi. Mo Dewj alimtumia Babra ili amkoseshe amani Mnara, lengo walitaka Manara akasirike na kuongea maneno kwa hasira ili wapate njia ya kumchafua kwa Mashabiki.

Mo Dewji hataki kutoa Bilioni 20. Anamtumia Hawara yake Barbara kuomba mkopo kwa Bwana wake Dewji ili Baade waje kuzikat toka Bil 20

Niwakati sasa Mchakato wa mabadiliko urudiwe. Tunataka muundo uwe kama Yanga, hatutaki Muwekeaji Mmoja

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Justine, nina mashaka na matumizi ya 'medula obulangata' yako. Unajifanya uoni matunda ya uwepo wa Mo pale SIMBA?. Unataka timu irudiswe kwa wananchi ambao hawana uwezo hata wa kununua jersey original ya Tshs. 30,000!. Utakuwa umetumwa au una shida mahala
 
Wewe unachangia shilingi ngapi kwenye club.
 
Mashabiki ni vigeugeu sana, kwenye huu mchakato wa simba kuwa na mwekezaji mmoja tu, kuna jambo mbeleni litatokea na hawataamini
 
Simba watakuja kushtuka siku Yanga wakitangaza thamani ya Club yao, na wawekezaji wakijitokeza watatu kama walivyopanga. Simba haiwezi kuwa na thamani ya Bilion 20 bhana na tusiongopeane
 
Back
Top Bottom