Mo Dewji na plagiarism kutoka NY Times

yawn17.jpg

Yaaaaaaawn! People are writing essays...the guy has stood up like a man and apologised. Guys move on!

(Supposedly) Dr. Shayo naye vipi? Alishasimama akaomba radhi kwa kuinua historia ya Valentine?
 
The so called Dr Shayo hawezi kuja JF kusema kitu kwa sababu constituency yake yeye na Mashaka iko Michuzi blog kwa watu wenye akili fupi na ambao si critical kama wana JF
 
GT,

Unaposema "the so called" unanikumbusha Malcolm alivyokuwa anasema "the so called negro", yaani anasema kama inavyosemwa lakini yeye haamini, kwa hiyo na wewe huamini kwamba huyo Shayo ni Dr.?
 
HIVI USHAKAA NA UKAONGEA AU UKAMSIKILIZA HUYO SHAYO?

ohhh hata Mama Rwakatare naye nasikia siku hizi ni Dr
 
Ninavyosomasoma tu utumbo wake sitaki hata kupoteza muda kumsikiliza, I mean ma archive yangu yote haya kuanzia Aristotle mpaka Zoroaster, Anaximander na Archimedes mpaka Zhao Zhiyang na Zwangendaba yananingoja niende kumsikiliza joker mmoja kutoka Tanzania asiyejua mkono wake wa kushoto from wa kulia?
 
Ninavyosomasoma tu utumbo wake sitaki hata kupoteza muda kumsikiliza, I mean ma archive yangu yote haya kuanzia Aristotle mpaka Zoroaster, Anaximander mpaka Zhao Zhiyang yananingoja niende kumsikiliza joker mmoja kutoka Tanzania asiyejua mkono wake wa kushoto from wa kulia?

What about MO?
 
What about MO?

Mo nishampa vidonge vyake kwa plagiarism. Bahati nzuri sana yuko sensible na kawahi kuja ku apologize hapa, kwa hiyo on account of plagiarism mimi nishamsamehe kwani hata mimi ni binadamu nakosea na kuomba msamaha. Kukosa hubris kwake kunanikosesha steam ya kuendelea ku beat a dead horse on that very issue, mtu yeyote aliye civilized anaelewa maana ya kuombwa msamaha.Kuna wahafidhina humu hawaambiwi hivyo.

Nilkienda deeper zaidi ya hii incident, nikiangalia trends na concepts, Mo ni part ya uongozi wa kidanganyifu na hii plagiarism ni tip of the iceberg tu, ni part ya uongozi mzima uliozoea fraud, unaoweka umuhimu katika the appearance kuwa tunafanya kitu kuliko kufanya kitu. Ndio uongozi huu huu ulioiba kura certainly Zanzibar na kumrudisha komandoo kwenye power illegally - wakuu wa usalama wenyewe wameniambia hili, halina mjadala kwa wanaojua, baba Nyerere, the mantle of decency bongo, alii rape democracy Tanzania- sasa unategemea nini kutoka kwa Mo.

Nimeeleza hapo juu baba Nyerere alivyoanzisha mizizi ya plagiarism Tanzania.huyu Mo - while he is not to be ignored- ni ki sea urchin tu katika food chain.

Kwa Mo, ni muhimu kujulikana kwamba ana ideas hizo za ki-New York Times zaidi ya kuzifanyia kazi yoyote.

Sasa hivi siwezi hata kutaka kumu-engage kwenye issues kwa sababu hajamake a coherent Tanzanian case, ame copy NYT na kutupa a NYT, theoretical, supranational approach sehemu ambapo hata intertrade tu kati ya hizi nchi ni kazi, hizi nchi zinafanya trade na west zaidi kuliko zinavyofanya intertrade kati yao, leo unataka zi pull resources pamoja ziwe na HEP?

Thank god for South Africa and Egypt, ama sivyo hata kwenda Nigeria ingebidi tufanye two layovers, one possibly some place twice or more as far as Nigeria, possibly even in Southern Europe.

Huko Congo hatujui miezi sita ijayo nani atakuwa rais, leo unataka tuwekeze pamoja miradi ya mabilioni ya pesa?

Guinea wamemchabanga rais wao risasi, wanajeshi wanaranda randa ovyo Conakry, hatujui nini kitafuata, leo unataka tuwekeze mamia ya mamilioni ya dola pamoja?

Huyu Dewji anameza ndoano ya economic hitmen moja kwa moja, bila hata ya kuimung'unya.Copy paste, huyu ndiyo new leadership yetu huyu, tena katoka Georgetown sijui, bakwambia huko Georgetown siku hizi hela tu, kila kapuku anaingia.

Juzi January Makamba kafanyiwa interview kwenye blog ya Mo (the same Mo?) wacha ataje mitabu hiyo, sijui Gun Gems and Steel sijui nini, lakini kaongea bio, kakataa kuongea policy.Kwa nini? Hana cha kuongea, na huyo aliyemhoji ni goon wake, hana alichomhoji.

Kwa hiyo, while I accept his apology and all, ningetaka kujua baada ya kucopy, translate na kuacha halfway (ameshindwa hata kutranslate the full article at least tungemuita translator) anafanyaia kazi gani haya mambo.ten yeye kama mtoto wa privilege anatumia privilege yake na business connections zake vipi kuwasaidia watu, kuwaongoza watu.

Viongozi wetu wanataka kuonekana wanajua na wanafanya kazi, hawana nia ya kufanya kazi na kutatua matatizo. Wangekuwa na nia ya kutatua matatizo wasingekuwa na muda wa ku-plagiarize.
 
Speaking of Makamba, huyu naye si ana bulogu yake? Kama sikosei kuna mtu hapa alim put on blast kwa kubandika articles za NY Times kwenye hiuo bulogu yake bila kutoa attribution...sijui ilikuwa ni wewe au Kuhani..I can't remember but it was one of you.

Sasa huyu Mo naye amekuja na kunyanyua article ya NY Times na kuitafsiri bila kutoa attribution. Naona kuna ki pattern flani hapo. Halafu hawa jamaa ni washikaji...oooowiiii....birds of a feather.....
 
Mi nakwambia huyu John Mashaka katuletea visa sana mwaka huu!
 
Msitake kumwonea Dewji. Yeye si wa kwanza na hatakuwa wa mwisho kufanya hivyo. Hapa hatuko chuoni. Si kosa kubwa kama ambavyo unataka kulifanya.

Amandla.......

Fundi,

Two wrongs do not make a right!

Mbona ukimwi haukuanza leo,na unaendelea kutesa lakini hatuambiwi tuuache kama ulivyo kwa vile tu atakayekufa leo hatokuwa wa kwanza?

You mean kwa vile ufisadi ulikuwepo kabla ya JK na wanamtandao hawajanunua cheo cha urais basi tuache uendelee?

Nadhani Dewji haonewi as you suggested bali anakumbushwa umuhimu wa ku-cite vyanzo vya habari pale anaponukuu.Hiyo ni elimu wala si kuonewa.
 
Mo nishampa vidonge vyake kwa plagiarism. Bahati nzuri sana yuko sensible na kawahi kuja ku apologize hapa, kwa hiyo on account of plagiarism mimi nishamsamehe kwani hata mimi ni binadamu nakosea na kuomba msamaha. Kukosa hubris kwake kunanikosesha steam ya kuendelea ku beat a dead horse on that very issue, mtu yeyote aliye civilized anaelewa maana ya kuombwa msamaha.Kuna wahafidhina humu hawaambiwi hivyo.

Nilkienda deeper zaidi ya hii incident, nikiangalia trends na concepts, Mo ni part ya uongozi wa kidanganyifu na hii plagiarism ni tip of the iceberg tu, ni part ya uongozi mzima uliozoea fraud, unaoweka umuhimu katika the appearance kuwa tunafanya kitu kuliko kufanya kitu. Ndio uongozi huu huu ulioiba kura certainly Zanzibar na kumrudisha komandoo kwenye power illegally - wakuu wa usalama wenyewe wameniambia hili, halina mjadala kwa wanaojua, baba Nyerere, the mantle of decency bongo, alii rape democracy Tanzania- sasa unategemea nini kutoka kwa Mo.

Nimeeleza hapo juu baba Nyerere alivyoanzisha mizizi ya plagiarism Tanzania.huyu Mo - while he is not to be ignored- ni ki sea urchin tu katika food chain.

Kwa Mo, ni muhimu kujulikana kwamba ana ideas hizo za ki-New York Times zaidi ya kuzifanyia kazi yoyote.

Sasa hivi siwezi hata kutaka kumu-engage kwenye issues kwa sababu hajamake a coherent Tanzanian case, ame copy NYT na kutupa a NYT, theoretical, supranational approach sehemu ambapo hata intertrade tu kati ya hizi nchi ni kazi, hizi nchi zinafanya trade na west zaidi kuliko zinavyofanya intertrade kati yao, leo unataka zi pull resources pamoja ziwe na HEP?

Thank god for South Africa and Egypt, ama sivyo hata kwenda Nigeria ingebidi tufanye two layovers, one possibly some place twice or more as far as Nigeria, possibly even in Southern Europe.

Huko Congo hatujui miezi sita ijayo nani atakuwa rais, leo unataka tuwekeze pamoja miradi ya mabilioni ya pesa?

Guinea wamemchabanga rais wao risasi, wanajeshi wanaranda randa ovyo Conakry, hatujui nini kitafuata, leo unataka tuwekeze mamia ya mamilioni ya dola pamoja?

Huyu Dewji anameza ndoano ya economic hitmen moja kwa moja, bila hata ya kuimung'unya.Copy paste, huyu ndiyo new leadership yetu huyu, tena katoka Georgetown sijui, bakwambia huko Georgetown siku hizi hela tu, kila kapuku anaingia.

Juzi January Makamba kafanyiwa interview kwenye blog ya Mo (the same Mo?) wacha ataje mitabu hiyo, sijui Gun Gems and Steel sijui nini, lakini kaongea bio, kakataa kuongea policy.Kwa nini? Hana cha kuongea, na huyo aliyemhoji ni goon wake, hana alichomhoji.

Kwa hiyo, while I accept his apology and all, ningetaka kujua baada ya kucopy, translate na kuacha halfway (ameshindwa hata kutranslate the full article at least tungemuita translator) anafanyaia kazi gani haya mambo.ten yeye kama mtoto wa privilege anatumia privilege yake na business connections zake vipi kuwasaidia watu, kuwaongoza watu.

Viongozi wetu wanataka kuonekana wanajua na wanafanya kazi, hawana nia ya kufanya kazi na kutatua matatizo. Wangekuwa na nia ya kutatua matatizo wasingekuwa na muda wa ku-plagiarize.

co-sign.jpg
 
Nilipokuwa Europe nilijifunza kwa lugha ya wenyeji wangu. Na kuna vitabu niliamini kuwa ma-profesa wangu wametunga lakini baada ya kuja viwanja nikakuta jamaa wali-copy tu.

Ukweli wa mambo wachangiaji humu na wakazi wa nchi kama zetu hakuna watakachoandika kipya.

Ningependa waTanzania mjifunze kucopy na ku-paste vitu vya maana. Kila siku mnawasifia waChina. Lakini wanachofanya ni copy and paste na hawaombi msamaha kuladeki.

Kama kuna mtanzania anayeweza kufanya plagiarism na kutuletea blue-print ya Mtambo wa Nyuklia ningempa tano. Maana tuna shida ya umeme.
 
Wanajamii Forums......mimi ni binadamu hivyo kama wengine nilisahau kuwrite citations pale chini lakini ofcourse the article from NY Times made me write the article in Swahili my intentions were not bad......nilikuwa najaribu ku highlight tatizo la umeme sasa kama nimewakosea wengine kwa kuchukua info ya article hiyo basi my sincere apologies to them na kosa halitarudiwa sawa wadau........I would try to cite in future articles....lakini kikubwa ni mada na Tatizo nililokuwa nazungumzia

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika

Ninarudia kwa wale waliokuwa offended na my articles please i offer my sincere apologies kwa sababu sikucite hiyo references....but my intentions were to highlight the problem throughout Africa and propose the solution....

Mo

Hata Obama alikopi akasahau kucite, kwa hiyo siyo big deal.
 
Back
Top Bottom