Umelazimishwa kufanya kazi kwake?Mkuu pesa lazima imfuate alieko nayo ndo maana haoni tatizo kukulipa 6500 usiku kucha wakati unamfanyia kazi ya mamilioni
Huyu ni agent wa bettry za no China kwa kutumia nebo yake tu, ili ana exploit soko la Tz kijifanya kama mzawaKongole kwa moView attachment 1210097
Kwahiyo yeye hapati chochote!?anapachika jina hatengenezi, wanatengeneza China uko,
Halafu kuna watu wanamlinganisha na Azam kama siyo ujinga ni kitu gani sasa...Huyu ni agent wa bettry za no China kwa kutumia nebo yake tu, ili ana exploit soko la Tz kijifanya kama mzawa
Mo Dewji anapata mafanikio, ananyonya wafanyakazi wake.Kongole kwa moView attachment 1210097
Matajiri wengi ni wanyonyaji.Mo Dewji anapata mafanikio, ananyonya wafanyakazi wake.
Sasa si waache kazo kwake waende kwenye makampuni yanayowalipa vizuri?Mo Dewji anapata mafanikio, ananyonya wafanyakazi wake.
Hakuna kampuni inayolipa vizuri. Unawasaidiaje ?Sasa si waache kazo kwake waende kwenye makampuni yanayowalipa vizuri?