MO Dewji anapiga hatua sana, atengeneza betri

MO Dewji anapiga hatua sana, atengeneza betri

Nyie manaolalamika kuwa wafanyakazi wanalipwa hela ndogo hivi mnajua hao wanaolipwa hela ndogo huwa wanaenda kuomba kazi gani humo viwandani? Kwa taarifa yenu kama una qualification kazi za viwandani zinalipa vizuri ila wengi huenda getini na "kuomba kazi yoyote tu" wategemea huyo mtu umpe kitengo gani zaidi ya kusukuma,kunyanyua na kujaza tu?halafu mtu kama huyo alipwe sawa na mwenye Diploma? Naungana na mdau Root hapo juu.
 
Kwel mkuu kila mmoja analipwa kutokana na kisomi chake, la saba failure huwezi kuwa sawa na wa dip
Nyie manaolalamika kuwa wafanyakazi wanalipwa hela ndogo hivi mnajua hao wanaolipwa hela ndogo huwa wanaenda kuomba kazi gani humo viwandani? Kwa taarifa yenu kama una qualification kazi za viwandani zinalipa vizuri ila wengi huenda getini na "kuomba kazi yoyote tu" wategemea huyo mtu umpe kitengo gani zaidi ya kusukuma,kunyanyua na kujaza tu?halafu mtu kama huyo alipwe sawa na mwenye Diploma? Naungana na mdau Root hapo juu.
 
Hata wewe ukiwa unauwezo wa kujaza container zima la bidhaa kutoka china, zitakuja na label yako, hapa ndipo mmarekani anaumiza kichwa maana huko marekani wtu wanafunga viwanda wanabaki na ma godown tuu, anapeleka specifications zake china anatengenezewa
 
Hakuna MTU anatumia hizo battery, atengeneze lithium batteries kwa ajili ya smart phones and other appliance's
 
Nilikuwa nahitaji Betri ya saa ya ukutani nikamuagiza mtu akaniletea hizo kwanza zilinishtua kwani kwa kuziangalia tu niliziona kama hazina ubora.

Ila nimeweka nione zinaisha nguvu baada ya muda gani.
mkuu vipi ziko vizuri?
 
Back
Top Bottom