MO Achafua hali ya Hewa; Aja na Mo Scholars Program

MO Achafua hali ya Hewa; Aja na Mo Scholars Program

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,057
Reaction score
1,572
1472580849278.jpg
1472580855866.jpg
1472580859955.jpg
1472580866825.jpg


Nasikia Maprof wa The Udom aka Vilazer wamemind kinyama.

Serikali ya Wanafunzi Udom imepiga marufuku bidhaa za MO kuuzwa THE UDOM

Udsm Home of VIPANGA
 
Nahisi watu kutapeliwa hapo!wenye viherehere lazima watalizwa
 
Mtoa Mada mbona sikuelewi? Udom ya nini tena? Mbona Kuna vyuo vingi?
 
Kwani lazima atoe sponsorship kwa vyuo vyote/vingine??! Acheni ukilaza.. Yeye kaona Academic institution itakayofit anaowahitaji ni mlimani...,it is his funds, his ambition and his decision msimuamulie mtu na kumlazimisha wakati hajaona potential in other institutions (not there is no potentiality, there is.. But not to his criteria/standard).
So tulieni tu huko mlipo someni kwa bidii nanyi mkijaaliwa huko baadae mkawadhamini primary na secondary school students kwenu ( or any place of your choice) si utakuwa na hela yako na malengo yako.. Hamna atakaye dictate for you.
 
Back
Top Bottom