Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,030
- 74,721
- Thread starter
- #81
Duh,hii kali sana asante kwa information........Kwa hiyo inamaana na zile shule zetu ipi inafaa BED or BEST?Maana nasikia ametoa maagizo shule zote za St.Kayumba ziwe na advance level,ukifikiria zile za O-level ni mahututi sasa ukiunganisha na A-Level sielewi kama elimu itakuwepo au ndiyo njia ya kuua akili za watoto wetu wa vijijini?
Hapo unasema kwa kauli thabiti na kali kabisa BED REST NOW