Mnyukano mkubwa Ofisi ya Rais: Sefue vs Hosea

Mnyukano mkubwa Ofisi ya Rais: Sefue vs Hosea

Sefue hajamsafisha mtu. Alichokifanya ni kutangaza matokeo ya uchunguzi uliofanywa na tume husika.
Ni kweli kabisa, wala hakusema kuwa takukuru imemaliza uchunguzi wake Sefue alijikita katika uchunguzi ambao ikulu ilikuwa ikifanya kujiridhisha na tuhuma dhidi ya wahusika.
 
Sefue hajamsafisha mtu. Alichokifanya ni kutangaza matokeo ya uchunguzi uliofanywa na tume husika.

Naona umefufuka baada ya kuona jahazi la Magamba linazama au sijui wamekuibulia wapi uje kuokoa jahazi. Halafu wewe ni Team gani maana wenzako kuanzia wakina laki si pesa,lizaboni,simiyu yetu,hamy-d na wengineo washajipambanua na team zao.
 
Hosea ana ushahidi wa jinsi maswi alivyonunua nyumba afrika kusini kwa fedha za escrow, hosea ana ushahidi wa sefue kununuliwa nyumba new york kwa fedha za escrow, hosea ana ushahidi wa jinsi werema alivyowekewa fedha za escrow kwenye mojawapo ya akaunti yake iliyoko afika kusini, ni suala la muda tu kila kitu kitakuwa wazi.

Hosea Anasubiri mpaka afukuzwe ndo ataje hayo,na sasa kama wewe unayajua na umeshayataja yeye atataja yepi....Au wewe umetoa point yeye atakuja malizia easy??...
 
......pia Sefue wana biff la siku nyingi na Hosea; Ilitokea Kazi moja UN inahusiana international corruption ,Hosea aliomba akapata, issue ikawa lazima President akubali na ampe Baraka zote, aende; Hosea akaomba kustaafu mapema, barua ikafika Sefue; Akaenda kumshauri JK akatae, barua yake haikujibiwa hadi Leo , na dead line ilishapita; Hosea akamvaa JK akajibiwa subiri Rais ajaye kwa Sasa piga mzigo; Lengo asije akaenda kuropoka huko Maana Ana Siri nzito zote !
 
Naona umefufuka baada ya kuona jahazi la Magamba linazama au sijui wamekuibulia wapi uje kuokoa jahazi. Halafu wewe ni Team gani maana wenzako kuanzia wakina laki si pesa,lizaboni,simiyu yetu,hamy-d na wengineo washajipambanua na team zao.

Team Tanzania...
 
Hosea Anasubiri mpaka afukuzwe ndo ataje hayo,na sasa kama wewe unayajua na umeshayataja yeye atataja yepi....Au wewe umetoa point yeye atakuja malizia easy??...

Na uthibitisho wa ninachokisema, hosea chini ya kiapo amekiri kuwa werema na maswi walipewa rushwa ya escrow, na werema kwa kutumia madaraka yake alimkwamisha hosea kufungua kesi
 
Ni kweli kabisa, wala hakusema kuwa takukuru imemaliza uchunguzi wake Sefue alijikita katika uchunguzi ambao ikulu ilikuwa ikifanya kujiridhisha na tuhuma dhidi ya wahusika.
Moja kwa moja Balozi Sefue amajionyesha kuwa ni mwepesi sana katika nasuala ya uongozi wa serikali.
Haina mantiki kumsafisha mtu wakati vyimbo vingine havijamaliza kazi zake.
This guy is playing politics na ofisi kuu ya seriksli.
Itamdodea!
 
Eh jamani mbona sijamielewa bandugu why BED AND NOT BEST?Please help

Nadhani anataka kumaamisha kuwa ukiwa na mgonjwa mwenye nafuu kidogo waweza kumshauri BEST rest now ukiona kachoka. Ila kama ni mahututi kama CCM unatoa maagizo kwa sauti kuu BED REST NOW
 
Nadhani anataka kumaamisha kuwa ukiwa na mgonjwa mwenye nafuu kidogo waweza kumshauri BEST rest now ukiona kachoka. Ila kama ni mahututi kama CCM unatoa maagizo kwa sauti kuu BED REST NOW

Duh,hii kali sana asante kwa information........Kwa hiyo inamaana na zile shule zetu ipi inafaa BED or BEST?Maana nasikia ametoa maagizo shule zote za St.Kayumba ziwe na advance level,ukifikiria zile za O-level ni mahututi sasa ukiunganisha na A-Level sielewi kama elimu itakuwepo au ndiyo njia ya kuua akili za watoto wetu wa vijijini?
 
Naanza kuamini yale maneno ya 'mtaani' kuwa 'jumba jeupe' limeshiriki vilivyo ktk wizi wa fedha za escraw! ni suala la muda tu yote yatakuwa hadharani! mungu ibariki tz.
 
Back
Top Bottom