Mnyika wanafunzi Ubungo wanakaa chini, mfuko wajimbo uko wapi?

wajua kuwa shule za jimbo la ubungo wanafunzi wanakaa chini, tembelea shule za msingi, manzese, ukombozi, tandale magharibi, makoka na nyinginezo nyingi tu nakumbuka hii ni moja ya ahadi yako.

Pamoja na michango mingi lakini kwanini watoto wetu wakae chini halafu tumekupa dhamana unauchuna tu

kabla hujajibiwa tujulishe umeandika mwenyewe au ubongo wako umetumika kama remote?
Dalili zaonyesha sehem uliyotumika kurusha ujumbe huu si salama.. Nahisi ulikuwa msalani
 
Chagadema wakishikwa pabaya wanashindwaga kujibu hoja, sa hapa ndo umeandika nini?
 
Mwami bado anaendeleza bifu...

Basi na yeye arudishe shati la Mbowe...

By the way hakuna jimbo hata moja Tanzania ambalo wanafunzi hawakai chini. Narudia hata moja, kukaa chini ni sera ya CCM kwa hiyo Mnyika hawezi kupinga ilani ya CCM
 
Fedha za mfuko wa jimbo ni za wananchi anapewa mbunge kwa matumizi ya jimbo husika.

Mfuko jimbo inawekwa kwenye ofisi ya jimbo ambayo mwenye mamlaka nayo ni mbunge muhusika.

Mpango w matumizi unapangwa na ofisi ya mbunge kutokana na mahitaji ya eneo husika.

Ukaguzi wa mduko wa jimbo unafanywa na ofuai ya bunge chini utaratibu wa kawaida wa mkaguzi mkuu wa serukali.

Mnyika kuwa mbunge wa kwanza sio hoja anachitakiwa kuleta maendelea kuondoa kero za wana ubungo, waliopita tuliwaondia kwa kuwa kila mmoja alidai hivyo hivyo yupo kwa musa miaka 5 haitoshi, kama ni hivyo haina haja ya kuwatoa ccm.
Mpango a serikali kutoa ruzuku ya jimbo ulianza wakati wa mkapa

Tumejibu maswali yaki nawe jiby yetu na mnyika wako
 
Jimbo la Pinda walimu wanakuny.a vichakani! Jimbo la Wassira wananchi wanakunywa maji dimbwi moja na ng'ombe na wote hao ni viongozi wakubwa serikalini na kwenye chama cha magamba. Ukilinganisha huko na Ubungo kwa Mnyika, Ubungo ni Mbinguni.

kwahiyo mnyika anaiga upuuzi wa magamba
 
Wajua kuwa shule za jimbo la Ubungo wanafunzi wanakaa chini, tembelea shule za msingi, Manzese, Ukombozi, Tandale magharibi, Makoka na nyinginezo nyingi tu nakumbuka hii ni moja ya ahadi yako.

Pamoja na michango mingi lakini kwanini watoto wetu wakae chini halafu tumekupa dhamana unauchuna tu

Wewe unalaana kamuulize jk.
 
Na bado mnasubiri Oktoba kuirudisha CCM madarakani kwa sababu ya kukaririshwa kwenu kwamba dhamana ya kuleta madawati mashuleni na maendeleo kwa jumla jimboni ni ya mbunge na si ya yule aliyeomba mwenyewe na kupewa madaraka ya KUKUSANYA KODI!! mweee wabongolala🙁
 
Fedha za mfuko wa jimbo ni za wananchi anapewa mbunge kwa matumizi ya jimbo husika.

Mfuko jimbo inawekwa kwenye ofisi ya jimbo ambayo mwenye mamlaka nayo ni mbunge muhusika.

Mpango w matumizi unapangwa na ofisi ya mbunge kutokana na mahitaji ya eneo husika.

Ukaguzi wa mduko wa jimbo unafanywa na ofuai ya bunge chini utaratibu wa kawaida wa mkaguzi mkuu wa serukali.

Mnyika kuwa mbunge wa kwanza sio hoja anachitakiwa kuleta maendelea kuondoa kero za wana ubungo, waliopita tuliwaondia kwa kuwa kila mmoja alidai hivyo hivyo yupo kwa musa miaka 5 haitoshi, kama ni hivyo haina haja ya kuwatoa ccm.
Mpango a serikali kutoa ruzuku ya jimbo ulianza wakati wa mkapa

Tumejibu maswali yaki nawe jiby yetu na mnyika wako

acha upotoshaji, mfuko wa jimbo uko akaunti za halmashauri, anayeziidhinisha ni mkurugenzi
 
Mwami bado anaendeleza bifu...

Basi na yeye arudishe shati la Mbowe...

By the way hakuna jimbo hata moja Tanzania ambalo wanafunzi hawakai chini. Narudia hata moja, kukaa chini ni sera ya CCM kwa hiyo Mnyika hawezi kupinga ilani ya CCM

Anatekeleza ilani.
 
Back
Top Bottom