Mnyika wanafunzi Ubungo wanakaa chini, mfuko wajimbo uko wapi?

Mnyika wanafunzi Ubungo wanakaa chini, mfuko wajimbo uko wapi?

Mada hii imekuja wakati muhimu.Na inafaa suala ya Mfuko wa Jimbo kuwa Kipimo na rungu mojawapo kuelekea oct-2015

Kuna haja UKAWA kuanda Taarifa ya Jumla ya Majimbo yote yaliyo chini ya CDM ,CUF na Nccr-Mageuzi katika kusimamia Majibo yao na hasa eneo la Mfuko wa Jimbo.


CC, Kurugenzi ya Habari


[h=3]Halmashauri sita zakiuka masharti ya Mfuko wa Jimbo - Kitaifa[/h]
Kifungu cha 12 cha Sheria ya Mfuko wa Jimbo ya mwaka 2009, kinaeleza kuwa orodha ya miradi inayoweza kutekelezwa inatakiwa kuibuliwa na wananchi wanaoishi katika jimbo husika.

Kupitia UKAWA wagombea wote wa Ubunge na Udiwani lazima wajue ndani nje pesa zote za Mfuko wa Jimbo ilitumikaje na wapi kulikuwa na mianya!
Na bila kusahau Makusanyo na Pesa toka Serikali kuu kwenda Halmashauri husika wapi kulikuwa na mianya kwenye matumizi na wapi wanaweza kupigia kelele zaidi na kusimamia ilikuleta maendeleo.
 
Last edited by a moderator:
Jamani mbonamnatoka mapovu mengi kiasi hicho . mnyika mwenyewe anajua kwanini tuna muuliza na wala hatumzushii alikuwa akitembea mpaka saa sita usiku kwenye vibanda vya gongo ubungo makoka kuomba kura.

Aliahidi vitu vingi sasa kumuuliza jambo ambalo aliahidi sidhani kama kosa
 
kumbe umesikia huna uhakika,hearsay is not admissible as evidence,kukusaidia tu,shule kavhizo zinasimamiwa na halmashauri,cha msingi mbananishe diwani kwani yeye ndio hushiriki mikutano ya uamuzi halmashauri.
Kwani hujui kama vikao vya madiwani wabunge nao ni sehemu yao. Vikao vyote vya maamuzi wabunge wamo, tafuta sababu nyingine braza!
 
Wajua kuwa shule za jimbo la Ubungo wanafunzi wanakaa chini, tembelea shule za msingi, Manzese, Ukombozi, Tandale magharibi, Makoka na nyinginezo nyingi tu nakumbuka hii ni moja ya ahadi yako.

Pamoja na michango mingi lakini kwanini watoto wetu wakae chini halafu tumekupa dhamana unauchuna tu
Mi napita tuu.
 
Muulize JK inakuwaje yeye anakaa kwenye sofa Ikulu Dar es Salaam halafu kilometres chache tu kufika Ubungo wanafunzi wanakaa chini
 
Unamlalamikia Mnyika kwani yeye ni 'Waziri wa madawati'?
 
Mnyika kajiandalia mwenyewe njia ya kutokea 2015, hana chake tena
 
kuna siku utamuuliza tena mnyika kwa nini mkeo amekuwa mvivu kufua nguo zake za ndani!!!
 
Kama kero za shule kwenye jimbo lake ni hilo tu basi amejitahidi sana na anapaswa kupongezwa kwa kuisimamia serikali na kuwawakilisha wananchi wake vzr.
Hapa chalinze watoto wanasomea chini ya miti,wanajisaidia porini. Kwahiyo kabla haujalalamika basi jitahidi kuangalia na kwa wabunge wengine. Tatizo serikali inayoonyozwa na ccm
 
na mfuko wa jimbo unafanya nini? Nasikia anapewa zaidi ya mil600 kwa mwaka! Miaka minne na nusu sasa katoa cherehani kumi tu.

kushindana na act kanda ya ziwa si pesa za jimbo ; ulitegemea nn kuchagua

form six student kuwa mbunge

wameliona sasa hivi lazima graduate ; ndo ugombee ubunge chadema
 
Back
Top Bottom