Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Jimbo la Pinda walimu wanakuny.a vichakani! Jimbo la Wassira wananchi wanakunywa maji dimbwi moja na ng'ombe na wote hao ni viongozi wakubwa serikalini na kwenye chama cha magamba. Ukilinganisha huko na Ubungo kwa Mnyika, Ubungo ni Mbinguni.