MNYIKA tunaomba utoe fafanuzi kwa niaba ya CHADEMA juu ya hili

Shardcole tulia,chademda ni chama makini kuliko hata wananchi,umakini wao ndio umekufikisha hapo had ukawakubal,lazm uwaamini viongz kwan angalia walipotutoa na wanapotuelekeza twende,kumbuka mwananch wa leo si wa enz zile.nafaham kuna meng viongoz wetu hawa wanakutana nayo na kuyatatua.na ndio maana tuko tusonga mbele
Mkuu, naomba maelezo ya hapo red.
 
Ungesaidia walau hata kusema mitandao gani hiyo. Ilipaswa kuwa sehemu muhimu ya hoja zako. Lakini pia Kamanda gani huyo anatiwa hofu na kiwewe kikubwa kwa tetesi tu!!! Lakini pia ni vigumu sana kuthibitisha kuwa wanamabadiliko wote nchini wameingiwa hofu...ati kwa sababu tu mmoja ameingiwa hofu! Kamanda vipi
 
Mkuu shardcole nani aliyekuwa anajua kuna wakati lema na jk walikutana lema akashawishiwa agombee kupitia ccm aka kataa naomba tuwaamini viongozi wetu time will tell
 
Ungesaidia walau hata kusema mitandao gani hiyo. Ilipaswa kuwa sehemu muhimu ya hoja zako. Lakini pia Kamanda gani huyo anatiwa hofu na kiwewe kikubwa kwa tetesi tu!!! Lakini pia ni vigumu sana kuthibitisha kuwa wanamabadiliko wote nchini wameingiwa hofu...ati kwa sababu tu mmoja ameingiwa hofu! Kamanda vipi

heshima kwako kamanda! Sitaki kuamini kwamba hayo ndio majibu kutoka kwa afisa habari wa chama, maana ww ni sauti ya chama sasa najaribu kucompare majibu yako na umakini wa chama chetu lakini haviendani kabisa, siku zote humu tumekuwa tukiwapinga vikali viongozi wa magamba kwa tendecy ya kutoa majibu mepesi tena kwa utashi wa hisia zao tu, Sisi ni wanachama wenu ni lazima tuhoji mambo hata kama yamemgusa mmoja anapaswa ajibiwe maana ndio demokrasia hiyo, kumbuka jinsi ss wanachama wenu tulivyohoji kwa nguvu zote bila kuogopa kuhusu uhusiano wa Zitto na JK, sasa kwann tusihoji kuhusu hivi vikao vya siri vina maana gani? Kumbuka hivi hivi vikao vya siri kati ya viongozi wa CUF na magamba ndio vimeifikisha CUF hapa leo ilipo sasa kwann tusihoji? ama viongozi wetu ni Malaika??
 
Shardcole tulia,chademda ni chama makini kuliko hata wananchi,umakini wao ndio umekufikisha hapo had ukawakubal,lazm uwaamini viongz kwan angalia walipotutoa na wanapotuelekeza twende,kumbuka mwananch wa leo si wa enz zile.nafaham kuna meng viongoz wetu hawa wanakutana nayo na kuyatatua.na ndio maana tuko tusonga mbele

heshima mkuu Ruhazwe JR!
Hapo uliposema CDM ina nguvu na umakini zaidi hata ya wananchi naona umekosea kidogo kwani remember that CDM w r running under people's power.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom