emmadeclassic
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 304
- 133
mikutano sehemu ulochaguliwa ni ruksa ndo kazi ake kwenda jimboni kwake hata JPM kasemaAje jimboni kwa njia ipi? Wakati mikutano marufuku!!!! Awe anapita nyumba kwa nyumba. Mijitu mingine sijui vichwa vimekatwa
nonsenseKwa hiyo kilio chako ni mchango? Haya, tangu lini mchango ukawa wa lazima?
Kama huyu aliyeanzisha mada ni mwanaume, na ana akili timamu, aende DAWASCO watampa fomu ajaze apatiwe maji. Haya mambo yenu ya vigodoro mnapoteza muda. Kibamba sio jimbo la kijijini kusema CCM inaweza kuwa tishio. Watu wa Kibamba wamesoma na wana akili timamu, wanafahamu kuwa MBUNGE HANA RESOURCES na hakusanyi kodi. Kumtishia mbunge wa upinzani mfanye hukoooo vijijini ambako mkipeleka khanga na kofia mnaonekana mitume, Ubungo Kibamba na Kawe ngumu kumeza.
Hata avatar yako inaonyesha unacheza sana na UKUTA, mombasa kama wanipata!UKUTA ndio mpango mzima.
Cool down baby, mbona unaandika blah blah?! ivoo ndio nini? Next time unaongea na mimi, anza na shikamoo.mwana mtoka hamna kitu wewe wakufuatilia ivoo vitu si mbunge au?? tatizo wakati wanapanga bajeti alifunga plasta mdomoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
watu wapuuzi mtaisha lini tz msiokuwa na uwezo wa kufikiriCool down baby, mbona unaandika blah blah?! ivoo ndio nini? Next time unaongea na mimi, anza na shikamoo.
Wewe unafahamu tuna serikali makini, hapa kazi tu...mbunge ana haja gani ya kufuatilia na hali serikali ni makini? Tangu lini serikali ya awamu ya 5 ikafanya mambo kwa 'mujibu wa bunge?' Ina maana hujui kuwa kuna barabara zinajengwa nje ya bajeti?
Well, usije ukadhani 2015 ndio nimepiga kura mara ya kwanza kama wewe, niko humu duniani kwa miongo kadhaa. Nafikiri wakati napiga kura kwa mara yangu ya kwanza, mama yako alikuwa bado kigori, kwa hiyo ukisikia nimekwambia kitu juu ya wanasiasa, tafakari kwanza, niko nao siku nyingi.
You are such an innocent girl, maisha haya ya fitina na unafiki bado huyajui. Mbunge, hata apige kelele kiasi gani bungeni kelele zake hazijengi barabara. Sisi tuliozaliwa huku mjini, tunapochagua mbunge huwa tunaadhimia overall responsibility ya mwakilishi kwa taifa na sio jimbo. Mbunge wa Ubungo mathalan, hatumtarajii kusimama aongee kuhusu madawati...tunataraji kumsikia yanapojadiliwa mambo makubwa ya uchumi wa hii nchi. Nafikiri unaweza kuona jinsi ambavyo ilikuwa ngumu VAT ya miamala ya simu kujadilika vyema na kupatiwa tafsiri bungeni, badala yake taasisi mbili za serikali (BoT na TRA) zikaja kulumbana nje. Hii yote ni kwa sababu, wabunge wa mjini hawakuwepo, waliobaki ni wale ambao wametumwa na nyie watu wa kijijini kuomba zahanati ili kwamba wadogo zako wasizaliwe tena onyuma yo mti wakapata akili za mfano wako.
Impact ya Mnyika kufunga plasta sio Kibamba kukosa barabara na maji. Impact ya Mnyika & CO kufunga plasta ni kwa hoja muhimu na nzito kukosa wa kuzijadili matokeo yake zinakuja kujadiliwa nje. Waliobaki ndani waliishia kuwajadili waliotoka na kuomba vitu muhimu kwa jamii zao, ikiwamo UWANJA WA KUMBUKUMBU YA PUSH UP...asalaaam aleikhum Bi Mdogo!
Yule mkurupukajiKweli nimeanza kuamini kwamba hawa jamaa walitaka kuuza nchi!! kwa taharifa yenu hakuna mwananchi atakaye kuja kupoteza muda!! Watu tumefunguka mwacheni raisi wetu achanje mbuga
Hakuna haja ya kutukana mamaangu. Kwenye bandiko langu nimeongelea mambo kadhaa na mifano nikatoa. Kwenye majibu yako sijaona ulichojibu zaidi ya kuniiya mpuuzi. Hoja ilikuwa ni mimi au Barabara za Kibamba?watu wapuuzi mtaisha lini tz msiokuwa na uwezo wa kufikiri
tatizo mnaamka mnakimbilia viroba intelligent quotient below 70 afu kua makini na kutumia he /she itakua hata english hukusoma
Well saidCool down baby, mbona unaandika blah blah?! ivoo ndio nini? Next time unaongea na mimi, anza na shikamoo.
Wewe unafahamu tuna serikali makini, hapa kazi tu...mbunge ana haja gani ya kufuatilia na hali serikali ni makini? Tangu lini serikali ya awamu ya 5 ikafanya mambo kwa 'mujibu wa bunge?' Ina maana hujui kuwa kuna barabara zinajengwa nje ya bajeti?
Well, usije ukadhani 2015 ndio nimepiga kura mara ya kwanza kama wewe, niko humu duniani kwa miongo kadhaa. Nafikiri wakati napiga kura kwa mara yangu ya kwanza, mama yako alikuwa bado kigori, kwa hiyo ukisikia nimekwambia kitu juu ya wanasiasa, tafakari kwanza, niko nao siku nyingi.
You are such an innocent girl, maisha haya ya fitina na unafiki bado huyajui. Mbunge, hata apige kelele kiasi gani bungeni kelele zake hazijengi barabara. Sisi tuliozaliwa huku mjini, tunapochagua mbunge huwa tunaadhimia overall responsibility ya mwakilishi kwa taifa na sio jimbo. Mbunge wa Ubungo mathalan, hatumtarajii kusimama aongee kuhusu madawati...tunataraji kumsikia yanapojadiliwa mambo makubwa ya uchumi wa hii nchi. Nafikiri unaweza kuona jinsi ambavyo ilikuwa ngumu VAT ya miamala ya simu kujadilika vyema na kupatiwa tafsiri bungeni, badala yake taasisi mbili za serikali (BoT na TRA) zikaja kulumbana nje. Hii yote ni kwa sababu, wabunge wa mjini hawakuwepo, waliobaki ni wale ambao wametumwa na nyie watu wa kijijini kuomba zahanati ili kwamba wadogo zako wasizaliwe tena onyuma yo mti wakapata akili za mfano wako.
Impact ya Mnyika kufunga plasta sio Kibamba kukosa barabara na maji. Impact ya Mnyika & CO kufunga plasta ni kwa hoja muhimu na nzito kukosa wa kuzijadili matokeo yake zinakuja kujadiliwa nje. Waliobaki ndani waliishia kuwajadili waliotoka na kuomba vitu muhimu kwa jamii zao, ikiwamo UWANJA WA KUMBUKUMBU YA PUSH UP...asalaaam aleikhum Bi Mdogo!
Habari yake imeonekana kupitia nini,huyu mtu mnajaribu kufichaficha lakini ipo siku ukweli utafahamika...JJ hayuko kimya.
..majuzi alikuwa Arusha kufungua kesi ktk mahakama ya Afrika Mashariki kupinga maamuzi ya Raisi wa Tz kusitisha shughuli za kisiasa mpaka mwaka 2020.
Habari yake imeonekana kupitia nini,huyu mtu mnajaribu kufichaficha lakini ipo siku ukweli utafahamika.
Jana G.Lema ameandika waraka kwa raisi,waraka ule leo unakutana nao kwenye magroup ya whatsup na social media nyingine kama face book nk huku habari za Lisu na zenyewe kwa wakati wake zimeendelea ku make head line.Kuniambia kwamba Lisu anasabisha habari za Mnyika isitufikie hueleweki.Tukio hilo lakufungua kesi dhidi ya serikali si tukio dogo kiasi cha kupuuzwa kiasi hicho..aliyeficha tukio hilo ni vyombo vya habari.
..lakini ukiangalia sasa anayevuma CDM ni TL peke yake wengine hawavumi.
..kwa mfano, Salum Mwalimu ana wadhifa sawa na ule wa JJ. je unataka kusema Salum Mwalimu anasikika na kuonekana kuliko JJ?
We ulikuwa wapi,mbona alihojiwa na vyombo mbalimbali vya habari?Uwe unajiridhisha na maneno yako kabla ya kuyaandika!Habari yake imeonekana kupitia nini,huyu mtu mnajaribu kufichaficha lakini ipo siku ukweli utafahamika.