Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,639
- 164,776
Hata Dr. Slaa alianza hivi hiviishakua tabu kila kukicha mnyika..............
Naibu Katiba Mkuu wa Chadema, John Mnyika amekanusha taarifa zinazodai kuwa anataka kuachana na chama hicho.
Mnyika amesema hayo jana alipopigiwa simu ili azungumzie taarifa hizo. Mbunge huyo wa Kibamba amesisitiza kwamba huo ni uzushi.
“Hakuna kitu kama hicho na wala sina mpango wa kuhama,” amesema.
Habari za kujiuzulu kwa Mnyika zilianza kusambaa katika vyombo vya habari kwa mara ya kwanza mwaka 2013 baada ya aliyekuwa naibu katibu mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe kufukuzwa uanachama.
Uvumi ulienea kwenye mitando kwamba amejivua nyadhifa zake zote na kwamba ameshakabidhi barua yake kwa katibu mkuu wakati huo, Dk Willibrod Slaa.
Chanzo:Mwananchi online
Mnyika anaondokaHata Dr. Slaa na Prof. Lipumba hawakuhama vyama. Mnyika ni rafiki yangu. Ninachojua ni kwamba John Mnyika na Halima Mdee wanaenda ACT-Wazalendo ambapo anaenda kuwa GS. It's a matter of time.
Kaongea wapi??Naibu Katiba Mkuu wa Chadema, John Mnyika amekanusha taarifa zinazodai kuwa anataka kuachana na chama hicho.
Mnyika amesema hayo jana alipopigiwa simu ili azungumzie taarifa hizo. Mbunge huyo wa Kibamba amesisitiza kwamba huo ni uzushi.
“Hakuna kitu kama hicho na wala sina mpango wa kuhama,” amesema.
Habari za kujiuzulu kwa Mnyika zilianza kusambaa katika vyombo vya habari kwa mara ya kwanza mwaka 2013 baada ya aliyekuwa naibu katibu mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe kufukuzwa uanachama.
Uvumi ulienea kwenye mitando kwamba amejivua nyadhifa zake zote na kwamba ameshakabidhi barua yake kwa katibu mkuu wakati huo, Dk Willibrod Slaa.
Chanzo:Mwananchi online
Usiwe na Shaka kuwa na subira tu. Time will tell youKaongea wapi??
Mbona haonekani??
Hivi hata ukiingia shift ya usiku malipo ni yaleyale buku 7?Hata Dr. Slaa alianza hivi hivi
umbea umewabana ila kwan kuna shida gani? Kama dr mihogo aliondoka sembuse yeye? Akiondoka nguvu ya cdm iko pale pale kila kukicha cdm inavutia mbaya utaki unaacha! Lowasa ni anazaaaaaaaa no ahaaaaaa! Bai za wee nilishaanza safari ya kuelekea dodoma!Mnyika anaondoka
Na naunga mkono sababu CHADEMA imepoteza dira
Wewe hiyo clip yako ya mnyika akisema kutaka kuhama CHAMA iko wapi???.Iweke.Weka hiyo clip ya Mnyika akikanusha tusikie ...
Hata Dr. Slaa na Prof. Lipumba hawakuhama vyama. Mnyika ni rafiki yangu. Ninachojua ni kwamba John Mnyika na Halima Mdee wanaenda ACT-Wazalendo ambapo anaenda kuwa GS. It's a matter of time.
Ni bora Mhs Mnyika amejibu mwenyewe maana hawa Lumumba wasumbufu sana!!Naibu Katiba Mkuu wa Chadema, John Mnyika amekanusha taarifa zinazodai kuwa anataka kuachana na chama hicho.
Mnyika amesema hayo jana alipopigiwa simu ili azungumzie taarifa hizo. Mbunge huyo wa Kibamba amesisitiza kwamba huo ni uzushi.
“Hakuna kitu kama hicho na wala sina mpango wa kuhama,” amesema.
Habari za kujiuzulu kwa Mnyika zilianza kusambaa katika vyombo vya habari kwa mara ya kwanza mwaka 2013 baada ya aliyekuwa naibu katibu mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe kufukuzwa uanachama.
Uvumi ulienea kwenye mitando kwamba amejivua nyadhifa zake zote na kwamba ameshakabidhi barua yake kwa katibu mkuu wakati huo, Dk Willibrod Slaa.
Chanzo:Mwananchi online
Weka hiyo clip ya Mnyika akikanusha tusikie ...