Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,694
MKUU hayo ni mambo yamakusidi kabisa yanayofanywa na ccm kuwakomoa kwa kuwa jimbo lipo chini ya upinzani.mnasulubiwa weee ili next time mchague ccm
Lakini hata mambo yaliyo ndani ya uwezo wake anashindwa?
Ajifunze kutoka kwa wenzake jimboni ndiyo haonekani kabisa hata kama uko busy namna gani? Angalia Mwakyembe aliacha ofisi akapita mala moja bungeni kisha akaenda Kyela jimbo lake limekumbwa na mafuriko, hata kama hakuzuia mafuriko lakini wapiga kura wake wamepata faraja mnyika wapi bana hana lolote mwakani atafute jimbo lingine tu. amewaongezea umaskini wapiga kura wake kwa kununua maji kila siku.