Mnyika Kwishney, awasilisha ushahidi mwepesi na kwa sasa asubiri huruma ya spika tu

Hakuna shutuma hewa hapa, zote ni sahihi kabisa Mwigulu Mchemba mweka hazina wa CCM yenye fedha za KOGODA bisha basi tuone????

unachekesha kweli,hivi kwa nini mnapenda sana kuropoka ropoka,samahani unatumia kiungo gani kufikiri.au bilicanas imewaharibu ubongo mmebakia na mzigo wa kichwa usio na kitu ndani.
 
Jana trh 10.07.2012 kwenye mida ya saa 11.10 jioni, Mh. Mnyika aliwasilisha ushahidi wa utetezi wake wa kuthibitisha uhusikaji wa Mh. Mwigulu Mchemba na kashfa ya EPA. Kwenye dodosa zangu na wahusika wa ofisi ya katibu wa Bunge, walinihabarisha kuwa mambo yaliyoandikwa na Mnyika ni too general , ambayo ni yale yale yanayosemwa magazetini, mitandaoni, na ushahidi wake mkubwa ni ripoti ya BOT kuhusiana na sakata la EPA. Kwa minajili hiyo basi, ushahidi wa Mnyika wa kumuhusisha Mh. Mwigulu moja kwa moja na ushiriki wake kwenye EPA waonyesha haupo, na hili ndilo lilikuwa agizo la Mh. Mhagama ambalo alilo toa kuwa Mnyika aonyeshe ushiriki wa Mwigulu Mchemba personally na kashfa ya EPA na sio ushahidi wa BOT kwa ujumla wake.
My take: Kwa hali hii ni wazi kabisa Mh. Mnyika amejiabisha yeye mwenyewe, amewaibisha wananchi wa ubungo, amewaibisha vijana, amewaibisha CDM, amewaibisha wabunge vijana nk kwa kutokuwa na hoja zenye mashiko na zisizo kweli na uhakika. Kwa sasa anategemea huruma ya spika tu kwenye jambo hili.

Wewe ni kama nani mpaka uwasilaine na ofisi ya Katibu wa Bunge mpaka wakupe taarifa ya kile kilichomo kwenye ushahidi wa mhe.Mnyika. Yawezekana kabisa nyie ndo wale wale kina Zoka ambao kila saa mnafuatila kile kinachofanywa na Wabunge wa kambi ya upinzani kwa vile tu mnajua wapinzani wakishaingia madarakani na ULAJI WENU UTAKUWA UMEKOMA!

Liwale na liwe,there is a day you must go,hakuna ujanja. Watu kama wameshawachoka hata kama mtatumia mbinu gani mlazima mtaondoka tu!
 
Ushaidi wa lema kuhusu pinda kusema uongo mbona hamjatoa majibu yake mpaka leo?Hilo la kuibisha basi viongozi na mawaziri wa CCM wasingekuwa hata wanatoka ndani kwa mambo ambayo wanayanfanya na bado wanadundika mtaani.Sijaona aibu hapo ila wewe kwa mtazamo wako kitu ambacho ni haki yako kimsingi.
 
wabunge wa ccm wanatoaga hoja ambazo hawana ushahidi nazo ila wakiongea wao hamuoni wanawaaibisha nyie ccm
 
Mnyika anapaswa kuacha jazba na uropokaji ili awe mwanasiasa mzuri huko tuendako.kama ataendelea kutoa shutuma hewa atajishushia heshma alojijengea kwny jamii. Atumie akili badala ya kile kiungo kingine anapofikiri.

Niliandika hapo kabla kuwa Mnyika ni kijana mahili sana hawezi kukurupuka na kusema kuwa Huyo gamba alihusika na EPA bila ushahidi!! Wenye akili timamu wote wanajua kuwa huyu gamba ndio muweka hazina wa CCM na ccm ilihusuika na kashfa ya EPA [ ilikuwa na fedha za wizi za EPA kwenye sefu yake] hivyo basi ni dhahili kuwa huyu muweka hazina anauhusiano wa moja kwa moja na wizi huo wa EPA kwa kuzitunza fedha zilizoibwa!! Sasa huyo Muhagama atataka ushahidi gani zaidi ya huo? Au akatae basi kuwa mchemba sio muweka hazina wa chama cha magamba!
 
Maofisa wa Bunge waseme ushahidi wa LEMA, KAFULILA na ZITTO waliopeleka bungeni wakishakwambia utujuze.
 
ungefanya jambo la maana kutuwekea ushahidi aliowasilisha, ili tupime wenyewe badala ya blah blah....
 
Kwani vile vielelezo vyote vinavyotolewa bungeni tangu bibi kiroboto achukue usukani vilisha somwa??
ripoti ngapi anawaambia wabunge wa upinzani wathibitishe kwa maandishi halafu havisemwi hadharani??
kabla hajaisoma hiyo ya mnyika aanze zile za nyuma zilizotangulia kila moja kwa utaratibu wa upokeaje hadi aje aifikie hii ya mnyika nadhani uchaguzi mkuu utakuwa umefika...
:popcorn:huku nikisubiria sinema ya bikiroboto na ripoti ya mnyika ianze
 
Hakika kama wewe ni mgeni wa mambo ya bunge letu utapata shida kuelewa mambo mengi. Kabla ya kuanza na hilo la Mnyika ni vyema ukajiuliza ushahidi wa lema juu ya waziri mkuu uko wapi na ule wa magdalena sakaya dhihidi ya unyanyasaji wa wakuu wa wilaya alio ombwa na mkuchika. ukipata majibu then continue.
 
Natamanii spika apeleke huo ushaid bungeni ndipo MAGAMBA tutakapo yavua nguo hadharani na KAGODA yao nadhani wanajua wakipeleka in public wataumbuka vibaya.
 
unadhani hata asipowasilisha ushahidi watamfanya nini unachokiqualify kuwa eti Mnyika Kwishney.....unajua maana ya hayo maneno uliyotumia mtu akiona tu hiyo title anaweza kudhani wamemuulimboka vile....
 
Jana trh 10.07.2012 kwenye mida ya saa 11.10 jioni, Mh. Mnyika aliwasilisha ushahidi wa utetezi wake wa kuthibitisha uhusikaji wa Mh. Mwigulu Mchemba na kashfa ya EPA. Kwenye dodosa zangu na wahusika wa ofisi ya katibu wa Bunge, walinihabarisha kuwa mambo yaliyoandikwa na Mnyika ni too general , ambayo ni yale yale yanayosemwa magazetini, mitandaoni, na ushahidi wake mkubwa ni ripoti ya BOT kuhusiana na sakata la EPA. Kwa minajili hiyo basi, ushahidi wa Mnyika wa kumuhusisha Mh. Mwigulu moja kwa moja na ushiriki wake kwenye EPA waonyesha haupo, na hili ndilo lilikuwa agizo la Mh. Mhagama ambalo alilo toa kuwa Mnyika aonyeshe ushiriki wa Mwigulu Mchemba personally na kashfa ya EPA na sio ushahidi wa BOT kwa ujumla wake.
My take: Kwa hali hii ni wazi kabisa Mh. Mnyika amejiabisha yeye mwenyewe, amewaibisha wananchi wa ubungo, amewaibisha vijana, amewaibisha CDM, amewaibisha wabunge vijana nk kwa kutokuwa na hoja zenye mashiko na zisizo kweli na uhakika. Kwa sasa anategemea huruma ya spika tu kwenye jambo hili.

Kama u mkweli kwanini usiwaambie wakupe huo ushahidi kama ulivyowasilishwa na Mnyika? Tuwekee hapa tuone wenyewe na kuchambua, vinginevyo zinakuwa ni porojo tu zisizo na maana. Hao wahusika wabunge ni kina nani?
 
Muweke wazi na ushaidi wa wa lema dhidi ya pinda,zito zidi ya kuhongwa kwa baraza la mawaziri?wanafiki nyie
 
Kwanza si riport ya kwanza kupelekwa Bungeni ikamimywa so si ajabu hii nayo ikiminywa, ila akili za wanaccm ni kama za bata kusahau kuwa hapo alipo alikunya dakika chache zilizopita na kusema tunaunga mkono hoja!
 
Sawa mheshimiwa Spika, naona unachambua kiviiivu, na unahitimisha kivivu na "my take" yako kichovu. Chemsha ubongo bwana usitupotezee muda kujadili visivyojadilika.
 
EPA was a HOAX, same to Dr Uli, radar, meremeta na mengineyo..plz msiamini hayo mambo ni stori tu za kuuza magazeti..
 
Jana trh 10.07.2012 kwenye mida ya saa 11.10 jioni, Mh. Mnyika aliwasilisha ushahidi wa utetezi wake wa kuthibitisha uhusikaji wa Mh. Mwigulu Mchemba na kashfa ya EPA. Kwenye dodosa zangu na wahusika wa ofisi ya katibu wa Bunge, walinihabarisha kuwa mambo yaliyoandikwa na Mnyika ni too general , ambayo ni yale yale yanayosemwa magazetini, mitandaoni, na ushahidi wake mkubwa ni ripoti ya BOT kuhusiana na sakata la EPA. Kwa minajili hiyo basi, ushahidi wa Mnyika wa kumuhusisha Mh. Mwigulu moja kwa moja na ushiriki wake kwenye EPA waonyesha haupo, na hili ndilo lilikuwa agizo la Mh. Mhagama ambalo alilo toa kuwa Mnyika aonyeshe ushiriki wa Mwigulu Mchemba personally na kashfa ya EPA na sio ushahidi wa BOT kwa ujumla wake.
My take: Kwa hali hii ni wazi kabisa Mh. Mnyika amejiabisha yeye mwenyewe, amewaibisha wananchi wa ubungo, amewaibisha vijana, amewaibisha CDM, amewaibisha wabunge vijana nk kwa kutokuwa na hoja zenye mashiko na zisizo kweli na uhakika. Kwa sasa anategemea huruma ya spika tu kwenye jambo hili.

Mbona wewe wakati fulani ulileta ishu ya ovyo tu kuhusu North Mara alafu hukufanywa chochote?
 
Mnyika kakosa muelekeo, wogo wa kufa umemfanya achanganyikiwe. Tunaomba jamaa wa karibu yake wamwambie kuwa tumemsamehe, wala asiogope. Arudi nyumbani tu hamna sababu ya kwenda kulala CRDB.
 
Back
Top Bottom