Mnyika kuwasha moto mwingine Arusha

Mnyika kuwasha moto mwingine Arusha

Mnyika msipe sifa za kibatari.chazima kwa hewa ya mdomo.Tuweke uzalendo kwanza wa taifa sio uhun wa mitaani.We lv our tz
 
Nendeni mkajadili bajeti bungeni mambo ya kuwasha moto kila siku yametuchosha hayana tija zaidi ya kutupotezea muda

They will make no difference any way, even if their presence misses. Wacha wawashe motooooooooo
 
Nendeni mkajadili bajeti bungeni mambo ya kuwasha moto kila siku yametuchosha hayana tija zaidi ya kutupotezea muda
Ikajadiliwe bajeti ya upuuzi hata haikizi mahitaji...hao walioko humu bungeni sindiyo wengi wajadili wao na wapitishe wao.
Vita ni vita ,Tz siyo mali ya CCM tena tumechoka..kesho naminiko kama watavaa bullet prove moja mimi navaa mbili....pinga police TZ komboa nchi...
 
Hizi sheria za bunge kweli ni za kizembe sana, watu wanacheza kule Arusha wakijua mishahara na posho zipo palepale.

Once fyatu always fyatu..ungekuwa na kazi ya maana ya kujiajiri au kuajiriwa ungalifahamu sheria za kazi...kama unaweza kusoma nakushauri ukasome sheria za bunge kisha urejeee hapa jukwaani labda utakuwa umetoka nke ya box. Wakatabau
 
Hizi sheria za bunge kweli ni za kizembe sana, watu wanacheza kule Arusha wakijua mishahara na posho zipo palepale.

Hata mi nashangaa sana hizi sheria za Bunge eti hata wale wanaolala wenye vikao vya bunge wanalipwa mishahara?

Acha hao wapo wale ambao hawajawahi kuchangia chochote nao wanalipwa, walahi hizi sheria mh!!


wapo pia waongo, waanaolia kwa unafiki wote wanalamba posho!
 
Hizi sheria za bunge kweli ni za kizembe sana, watu wanacheza kule Arusha wakijua mishahara na posho zipo palepale.

Hii ni kati ya Post za kimasikini kabisa nilizowahi kukutana nazo tangu nijiunge hapa Jf .
 
Safi sana Mnyika anaanguka mmoja anainuka mwingine mpaka polisi waone aibu,chadema wote tusirudi nyuma ktk kutafuta haki
 
Polisi bado wanawatafuta akina mbowe?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

at bado wanawatafuta....nisawa na mbwa aliyetupiwa mfupa na sungura akapoteza njia ya kumkibiza swala.
 
Najipongeza sana kwa kuikataa kazi ya Polisi ! Baada ya kuhitimu masomo yangu , Mjomba wangu alinishawishi nijiunge na Hospitali moja ya polisi ili hatimaye niwe askari , lakini nilimtolea Mbavuni , najihongeresha sana !
 
Back
Top Bottom