Independent-Mind
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 712
- 208
ZZK ni YUDA ISKARIOTI
Nakumbuka Mbowe alisema hivo.
ZZK ni YUDA ISKARIOTI
Huo ni mtazamo wako na uko sahihi,Lakini swala hili litaamuliwa na wana Ubungo wanaoguswa na tatizo moja kwa moja.Tunamsubiri.
Hao uliowataja wote hawapo duniani lol.....Hata hivyo deep down you know the truth,ZZK is by far the Best.Ni Theo Walcot au Kole Tour. Is good but not best
Ahadi ya maji na barabara jimbo la ubungo bado hajatekeleza. Alituahidi tukakesha Loyola kulinda kura lakini hatujaona matunda.
sasa kwanini alitoa ahadi kama alijua hana uwezo wa kuwaletea maji? Hawa ndio wabunge jaa.Nina uhakika kabisa wewe pamoja na wanaubungo wote mnaujua ukweli kwamba Mnyika amekuwa akifuatilia kwa karibu sana suala la maji, na mnaujua pia ukweli kwamba kuna kila mikakati inayofanywa hivi sasa kuhakikisha maji yanapelekwa ubungo. Mmekuwa na Keenja kwa Miaka mingapi na alifanya nini?
Ninyi mnalalamikia maji na barabara ilihali mnajua kabisa kwamba serikali iliyokuwa madarakani haikuwa hata na uwezo wa kulipa wafanyakazi mishahara, na inaondoka madarakani ikiwa na madeni makubwa kiasi cha kila mtanzania kudaiwa zaidi ya laki sita, hizo pesa za kujengea barabara na kuleta maji wangetoa wapi? Mnyika anafanya biashara gani inayoweza kumpa pesa za kupeleka maji na kujenga barabara Ubungo yote?
Ngoja niwashauri kitu watu wa Ubungo, kama mnataka maji na barabara viletwe kwa haraka Ubungo, chagueni Rais kutoka UKAWA. Huyo atasaidiana na Mnyika kuhakikisha ahadi hiyo inatekelezwa. Vinginevyo ni kazi bure. Hata Zitto huko kwao hajafanya lolote la maana.
Kwa hiyo wana ubungo hawajaoga mpaka Mnyika afike! Hahahaha!!! Endelea kumsubiri mwenzio anawasha moto huko mikoani na ziara zake zilimchanganya chenge ikabidi awatishie kwa kupiga risasi. Kwa sasa bastola inachunguzwa.
Ok hamna shidaMwaikimba.
Uchaguzi bado 5month still mnyika hapati usingizi
Kwa umbea kweli ni mbunge bora manaake jamaa kwa umbea na uongo hajambo kweli.
Mnyika alete maji Ubungo kwanza,tunamsubiri ana maswali magumu sana ya kujibu
Usinitoe nje ya hoja,chenge hausiki katika swala la maji,hii ndio topic iliyompa ubunge na ndio itampokonya ubunge,nyie pigeni kelele tu mtakuja kuniambia October.
Mwanajavi Lukolo, Nyongise! Ushauri mwanana kabisa huo kama umande mzuri juu ya majani wakati wa alfajiiri. Ni ukweli Mh. J.J. Mnyika ni mmoja kati ya Wabunge hodari kabisa hapa Tanzania kwa sasa. Nakuunga mkono kabisa kwa ushauri huo. Mh. Mnyika tafadhari zingatia hayo, kuna watanzania wengi tu wanaoridhishwa na utendaji wako.
sasa kama hao ni Ronaldo na Messi na ZZK nae?
Kamanda JF siyo sehemu ya porojo kwa faida ya JF tutajie hizo idara za serikali ambazo wafanyakazi wake hawajalipwa mishahara, yaani Mnyika kashindwa kutimiza ahadi zake mnazua uongo.
Wananchi wa Ubungo, Bonyokwa, Temboni, Kimara, Manzese wanataka maji na barabara siyo muongozo spika.
Mnyika ni bora kwa Chadema kawazidi kina Lema, Sugu, Wenje,.
Huo ni mtazamo wako na uko sahihi,Lakini swala hili litaamuliwa na wana Ubungo wanaoguswa na tatizo moja kwa moja.Tunamsubiri.
Sasa kama alikuwa anayajua haya yote kwa nini alitoa hizo ahadi au ndiyo ulaghai wa kisiasa kuona wanaubungo wajinga.