Mnyika azuiwa kutoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!

Ni kweli serikali ya kikwete yote imeoza, wang'oke wote la sivyo sauti ya uma itawaondoa

The whole issue proves me right! Nishtushwa na majibu ya WM kuhusu mgogoro wa Arusha na kwakweli sikuwa na imani nae kuhusu majibu yake na yeye binafsi. Nilijiuliza kama wabunge wote wameridhika basi litakuwa ni tatizo. Angalau Mnyika amenithibitishia kwamba angalau kuna wabunge ambao nao hawakuridhika kama mimi!

• Thanks
Reactions: FJM
Waziri mkuu feki
Haahahahaah safi sana Naibu Spika! Kwanza apeleke hoja kwenye Kamati kuu ya Chadema kwa kutokuwa na Imani na mbowe baada ya kuidanganya kamati kuu kuwa kuna Mazungumzo ya Muafaka kati ya CDM na Waziri Mkuu!

The whole issue proves me right! Nishtushwa na majibu ya WM kuhusu mgogoro wa Arusha na kwakweli sikuwa na imani nae kuhusu majibu yake na yeye binafsi. Nilijiuliza kama wabunge wote wameridhika basi litakuwa ni tatizo. Angalau Mnyika amenithibitishia kwamba angalau kuna wabunge ambao nao hawakuridhika kama mimi!

Tupo pamoja mkuu!

Pinda ni mnafiki sana anjifanya mzuri kwa kila mtu kitu ambacho hakiwezekani, anajifanya yuko upande wa wananchi kumbe yupo kwenye wale wanaotutafuna ni kama mpini wa shoka unaosaidia shoka kuteketeza miti wakati na mpini ni mti.

Wrong timing, Mnyika kachemka. Sasa hivi hakuna vuguvugu la skandali au wigo mkubwa wa unpopularity on Mizengo Pinda. Ni hoja dhaifu mno. Huna imani na Pinda kwa lipi, kutetea serikali wakati wa maswali ya papo kwa papo?

Angesema wakina Ngeleja angeeleweka, Pinda kwa sasa hana chafuko la kuamsha hisia kali za wananchi kumuondoa.

Kwani hapo Naibu Spika amekosea nini.

Mimi naona amempa sasa nafasi nzuri sana kueleza hoja yake kwa kituo tena akishauriana na wenzake namna ya kuitoa mchicha.

Aliona njia rahisi ya kuzima hoja ni kumwambia ipelekwe kwa maandishi,maana akifanya hivyo haitajadiliwa

Mnyika nadhani mpaka sasa hivi munajuwa Bunge la Jamhuri la muungano lipo kutekeleza matakwa na maelekezo ya serikali ya CCM,tumeona wenyeviti ,spika na naibu wake wanavyowafokea kama watoto na wanavyowaona kama vile nyie hamstahiki wala hamuwakilishi wananchi,lakini sisi tunaona sana,jambo moja tuu kama nyie mulivyokosa imani na Waziri Mkuu,kiongozi wa Serikali bungeni sisi sote hivyo hivyo,sisi ni Supreme Court leteni Hoja sisi tutajua tutakavyoamua

Ww ni mtu mdogo sana nchi hii, wala huwezi kuifanya chochote dola !

Wrong timing, Mnyika kachemka. Sasa hivi hakuna vuguvugu la skandali au wigo mkubwa wa unpopularity on Mizengo Pinda. Ni hoja dhaifu mno. Huna imani na Pinda kwa lipi, kutetea serikali wakati wa maswali ya papo kwa papo?

Angesema wakina Ngeleja angeeleweka, Pinda kwa sasa hana chafuko la kuamsha hisia kali za wananchi kumuondoa.
Waziri mkuu amechafuka katika maeneo mengi tuu,kuna watu wanachubuana kwenye kugombea vyakula vya msaada,wana kula pumba,mafuta yamezuia na wahindi na waarabu,umeme ndio mgao kama kawa,bado watu wanababuka ngozi kunywa maji ma sumu, rasilimali zinaporwa unataka aibu gani wakati watu wanajinyonga kila siku kwa sababu maisha magumu

jamaa alipatangaza kuwa eti ni mtoto wa mkulima hata mimi nilishawishika kuamini hivyo, looh! hata mwezi haujapita wa mazao kuvunwa yeye keshachukua ya kwenye maghala.
TOKA ZAKO HUKO WEWE WOOTE WANAKUSHAWISHI TUU HATA MKWELE (jk) ALIKUSHAWISHI!
MAGAMBA NI MAGAMBA TUUU MSIJIDANGANYE SIJUI MAGUFULI AU NANI? WASAFI WALISHATOKA MAGAMBA'S

Kama wanajua wako sahihi mbona wanamzuia mnyika kutoa hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu pinda alikuwa zamani sio sasa kashaonja upepo wa feli basi ahaaa watu tufe tu yeye hana habari eti wanamwita mtoto wa mkulima nani kasema ccm waote mafisadi tu na ukiingia kama we sio fisadi utafundishwa kama utakikujifuza kuwa fisadi ndo puuuuuuuuuu kwisha kazi tuonane kwa baba

*Ndugai amefanya makosa makubwa sana: 1/Hakutaka kumpa nafasi ya kutosha Mnyika kujenga hoja yake 2/Kumhukumu mtoa hoja(Mnyika) kabla hajamalizia hoja yake *Si kweli kuwa Mnyika hajui kutafsiri kanuni,kwani wakati wote amekuwa akizungumza kwa kanuni na hata kanuni aliyotumia spika ni Mnyika mwenyewe aliisoma ili aweze kujenga hoja yake,lakini akakatishwa kabla.. *Kwa hili inadhihirisha kwamba kiti cha Spika(eg.Makinda,Ndugai etc) kimejaa; Uoga,Uzushi,Upendeleo,Ujanjaunja,Hila,Wivu,Wasiwasi.

Tumeshawazoea. wanaogopa kivuli, lakini ipo siku. Days are numbered. Maana wamegawana kila kitu, sasa wanaanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe. Hivyo sishangai mnyika na wapinzania kuzibwa midomo.

inakera kweli,yale maandishi ya zito kuhusu huyu huyo pindo hatukuyaona.

Kwani ya Lema kuhusu Pinda kulidanganya bunge uliyaona?? Yaani wamemwambia akkandike ili wasomeeeeeeeeeeee wampe nae asomeeeeeeee halafu wapotezee na aandae majibu ya vijembe!!

Hatuna waziri mkuu. How I miss Lowassa!

Sema umemmiss Sumaye, Warioba, Salim au Sokoine.Huyo aliyejiuzulu kwa kashfa umemmiss si bora pinda ambaye bado yupo madarakani na akizidiwa hoja badala ya kukomoa watu huli hadharani?

Back
Top Bottom