Mnyika azuiwa kutoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!

Mnyika ameomba muongozo wa spika na alistahili kupewa muongozo huo palepale au baadaye kama ambavyo naibu spika angeona inafaa.
Hata hivyo muongozo huo ulitolewa baadaye kwamba afuate utaratibu wa kupeleka hoja kwa maandishi.....

Naibu spika alikosea kwa kupaniki kama ilivyokuwa wakati ule Lema alivyoomba mwongozo kwa spika kuhusu uongo wa PM, lakini yeye amejisahihisha kwa kutoa muongozo baadaye.

• Thanks
Reactions: FJM

Kweli wajinga ndio wali wao, na sidhani km mtakwepa juu ya hilo, mtu anakwenda tofauti na kanuni leo mnasema shule ipo. Hiyo ni shule au ushamba na ujuha
Kimsingi, watu tunahesabu tu maandishi mangapi mpaka sasa yamewekwa kapuni, kuna la Lema, Lisu na Zito..... Mpaka hapa ni matatu. Usije ukadhani kila wakati yatawekwa kapuni............. Ipo siku...

Wabunge wa CDM wote karibia hawajui kanuni, huwa wanapayuka tu wanadhani hiko ni kijiwe km kile wanachokaa pale American chipsi
Mi sikuelwi......... Mnyika alitaka mwongozo hivyo Ndugai alichotakiwa kusema ni kuwa kufanya hilo inabidi ufanye yafuayayo
1. 20%
2. Maandishi
3.....blah blah blah and so ON

• Thanks
Reactions: FJM
Kimsingi, watu tunahesabu tu maandishi mangapi mpaka sasa yamewekwa kapuni, kuna la Lema, Lisu na Zito..... Mpaka hapa ni matatu. Usije ukadhani kila wakati yatawekwa kapuni............. Ipo siku...

Washaurini wabunge wenu wawe weledi wa kanuni, sio mabubusa wa kanuni

Haahahahaah safi sana Naibu Spika! Kwanza apeleke hoja kwenye Kamati kuu ya Chadema kwa kutokuwa na Imani na mbowe baada ya kuidanganya kamati kuu kuwa kuna Mazungumzo ya Muafaka kati ya CDM na Waziri Mkuu!

Wewe unaweza kua unaleta ushabiki kwenye mambo yamsingi,hivi unafikiri Pinda leo bungeni angekubali ile kauli yake wakati MUKAMA majuzi alimpiga mkwara Pinda juu ya makubaliano na Mbowe? ww ulidhani angekubali ili chama kimuhukumu? Unatumia makalio kufikiri sio eeh! haya kama umekua makini na maelezo ya waziri hukuona ukweli juu ya Mbowe alichokisema majuzi? Unatumia maka.....o kufikiri,ushabiki acheni kwenye maswala ya msingi sio ilimradi nawe uandike tu.

Kimsingi, watu tunahesabu tu maandishi mangapi mpaka sasa yamewekwa kapuni, kuna la Lema, Lisu na Zito..... Mpaka hapa ni matatu. Usije ukadhani kila wakati yatawekwa kapuni............. Ipo siku...

Kuna la Magdalena Sakaya pia mkuu

Wewe unaweza kua unaleta ushabiki kwenye mambo yamsingi,hivi unafikiri Pinda leo bungeni angekubali ile kauli yake wakati MUKAMA majuzi alimpiga mkwara Pinda juu ya makubaliano na Mbowe? ww ulidhani angekubali ili chama kimuhukumu? Unatumia makalio kufikiri sio eeh! haya kama umekua makini na maelezo ya waziri hukuona ukweli juu ya Mbowe alichokisema majuzi? Unatumia maka.....o kufikiri,ushabiki acheni kwenye maswala ya msingi sio ilimradi nawe uandike tu.

Lipi la msingi ulilo andika sasa ww mchicha mwiba ?

Ana upendeleo sana huyu naibu spika sijui ama nini maana kila mbunge wa CHADEMA akisema kwa hoja yeye anawezuia sana ila kwa CCM

Ana upendeleo sana huyu naibu spika sijui ama nini maana kila mbunge wa CHADEMA akisema kwa hoja yeye anawezuia sana ila kwa CCM

Ha ha haaaaaa Magwanda bana mnaanza kulia wakati mmeyataka wenyewe, bungei sio kijiweni pale ofisini kwenu kinondoni

Nimeanza kuamini kweli wabunge wa CDM ni mambumbu wa kanuni. Kanuni inasema kwa maandishi, ww unataka kusema hapo hapo. Na ndio maana Mnyika ameambiwa awaulize ma seneta wa bunge ( ambao wana muda mrefu bungeni) wamfundishe kanuni azijue huyu kijana

@GeniusBrain, usichanganye mambo kama Spika na Naibu wake wanavyofanya. Mnyika kaomba mwongozo (procedures) au utaratibu. Naibu Spika alitakiwa amwambie ni utaratibu gani huo au ni njia ipi anatakiwa afuate. Hii tactics ya kusema kaandike ni kwamba Ndugai hakuwa anajuwa 'what to say' hivyo kapoteza muda ili ajifundishe hizo taratibu alizoombwa na ndio maana huku mwishoni amekula matapishi yake kwa kutoa mwongozo/taratibu.

Hii ndio shida ya kupachika vilaza kwenye nafasi za uongozi. Mama Makinda anaonekana kupunguza jazba, ila Job Ndugai yeye anatafuta umaarufu. ataumbuka!

Watu kama wakina Ndungai ndio wanao faa kuliongoza bunge la sasa, kwani lina vilaza wengi kutoka cdm ambao wanataka kulichukulia bunge kama mkutano wa hadhara. Bunge ni sehemu takatifu lina kanuni zake

Mbunge John Mnyika leo ameomba muongozo wa naibu spika ili atoe hoja ya kutokuwa na imani na majibu ya waziri mkuu, naibu Spika akamzuia kwa kumwambia ametafsiri kanuni ndivyo sivyo na kumtaka akae chini na apeleke hoja yake kwa maandishi.

Ndo njia walizokuja nazo sasa zakuwanyamazisha upinzani kazi kwenu CDM na nyie mje na njia mmbadala yakukabiliana nao ili hojazunu mzifikishe

Wabunge wa CDM wote karibia hawajui kanuni, huwa wanapayuka tu wanadhani hiko ni kijiwe km kile wanachokaa pale American chipsi

Nadhani naibu spika ndo siyo muelewa na amedhihirisha umbumbu wake, kwani angerusu mwomba mwongozo amalize kutoa maelezo ndipo ahukumu.
Mnyika alitaka apewe mwongozo wa jinsi atakavyo wasilisha Hoja yake kwa maandishi atatakiwa kuzingatia mambo gani muhimu ili iweze kukubalika.
NA NDIO MAANA MWISHONI NAIBU SPIKA AMEJISHTUKIA AKAANZA KUELEZA INA HITAJIKA 20% YA WABUNGE WA SIGN HOJA HIYO NDIYO IKUBALIKE

Lipi la msingi ulilo andika sasa ww mchicha mwiba ?

Mpuuzi ww soma hapo juu au ndio kutudhihirisha upeo wako wa kufikiri upo hapo,umetumwa kuja kuvuruga michango muhimu humu ndani so kawambie hao magamba hapa sio sehem yake nenda jukwaa la Udaku

Kwani hapo Naibu Spika amekosea nini.

Mimi naona amempa sasa nafasi nzuri sana kueleza hoja yake kwa kituo tena akishauriana na wenzake namna ya kuitoa mchicha.

Mkuu kwani kuna hoja ngapi zishahitaji maandishi na zimepigwa kapuni? Hiyo fursa aliyopewa ni danganya toto

Kwani hapo Naibu Spika amekosea nini.

Mimi naona amempa sasa nafasi nzuri sana kueleza hoja yake kwa kituo tena akishauriana na wenzake namna ya kuitoa mchicha.
...Hiyo habari ya kupeleka hoja kwa maandishi ndio mbaya zaidi. Wakiona kilichoandikwa kwao ni zengwe wanaipotezea juu kwa juu hamna kinachoendelea.

mimi binafsi sina imani na serikali yote ya magamba.. Wote wajiuzulu tuanze kazi upya wakuu..

Haahahahaah safi sana Naibu Spika! Kwanza apeleke hoja kwenye Kamati kuu ya Chadema kwa kutokuwa na Imani na mbowe baada ya kuidanganya kamati kuu kuwa kuna Mazungumzo ya Muafaka kati ya CDM na Waziri Mkuu!

Mkuu hapo unabonga unafiki maana umeingiza mada tofauti

Back
Top Bottom