Mnyika azuiwa kutoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!

Ndugai alipanik bure Mnyika aliomba muongozo then akaeleza makusudio yake ya kutokuwa na iman na pinda ye akaanza kumtisha badala ampe muongozo wake yan ccm bana wana mambo ya kizee...matokeo yake baadae ndo anakuja kujisahihisha..yan akil zake fup ka ye alivo mfup

Kwani hapo Naibu Spika amekosea nini.

Mimi naona amempa sasa nafasi nzuri sana kueleza hoja yake kwa kituo tena akishauriana na wenzake namna ya kuitoa mchicha.

Ni kweli Barubaru, lakini tatizo hawa jamaa zetu wakiona ina kula kwao wataiweka kapuni.

WanaJF
Ikiwa!! kwenye hii thread kuna mwenye imani na kiongozi wa shughuli za serikali bungeni..
Atueleze machache waziri pinda...aliyoyasimamia vyema (zaidi ya kuwa kama vijana wa universities kwenye iliyokuwa zain africa chalenge!) "kwa kujibu maswali chapchap pamoja na kushindwa mpaka spika amsaidie"..

pengine ntaweza kushawishika. Na kazi tulizomtuma.

Mnyika ataiwasilisha tu hiyo hoja,swali ni je itafanyiwa kazi au itachambiwa kama zingine?

acha upumbavu wewe w/mkuu mwenyewe amekubali kuwa kuna kitu kama hiko kinaendelea,fuatilia vyombo vya habari siyo unakurupuka tu hata chai hujanywa na kuleta upupu wako hapa.watu wanajadili vitu vya msingi unaleta upupu wako.

Hakuna kinachoendelea kati ya Waziri Mkuu na CDM kuhusu Arusha! Uwe unaangalia Bunge Mkuu!

Hawa vijana wa Chadema shule ipo, wanatumia vizuri sana nafasi wanazozipata kosa moja magoli 100, waliozowea kuendesha Bunge kwamazowea na mawaziri waliozowea kutoa majibu ya kubabaisha watadhalilika.

Kwani hapo Naibu Spika amekosea nini.

Mimi naona amempa sasa nafasi nzuri sana kueleza hoja yake kwa kituo tena akishauriana na wenzake namna ya kuitoa mchicha.

Kweli hakuna kosa mkuu, ila angempa fursa yakumalizia maelezo yake ndipo amhukumu.
Pia kwa maelezo ya Naibu spika nikuwa Maelezo atakayo wasilisha lazima 20%ya wabunge wa sign ndipo iweze kupokelewa. Kwa maana nyingine wabunge 72 au zaidi ya hao wanatakiwa ku sign

hata mimi kama mwananchi wa kaiwada sina imana na huyu waziri mkuu.........anakera sana...mtu gani vugu vugu tu.....yaani haonyeshi kama ni waziri mkuu au rubber stamp tu!!

hata kama hoja ya mnyika wakiipoytezea wajue kuwa sisi wananchi tunajua kuwa pinda ni kikwazo katika maamuzi......

Hapo ndipo mwenye nyumba ni nani na mpangaji ni nani atajulikana.

Kuna kipindi madiwani wa CCM Moshi walikuwa na jeuri ya kufa mtu kwani walikuwa wengi kuliko ya CDM. Madiwani wa CDM walionekana si kitu katika kupitisha maamuzi lakini uchaguzi wa 2011 kibao kiliwageukia CCM wakapata viti vinne tu CDM viti 17. Issue ya kwanza iliyopelekwa kwenye baraza la madiwani ni kupokonya CCM ofisi ya wilaya na jengo la UVCCM, vilikuja kuonekana ni mali ya halmashauri. CCM Moshi mjini hawana jeuri tena.

Kwa hiyo wabunge toka CCM waanglie sana upepo usije kuwageukia mwaka 2015.

Kimsingi naikubal hoja hii ya kuwasilisha kwa maandishi kama matakwa ya kanuni na taratibu yanavyotaka.
Lakin kimuundo wa bunge kwa maana ya composition ya wabunge ambao watakuwa positive na hoja hii,ni likely kabisa inaweza gonga mwamba kwa ushabiki wa kisiasa.
Co hizi kanuni pia ziwe sehemu ya changamoto ktk mjadala wa katiba mpya ili tuwe na Tz tunayoitaka yenye viongozi wanaoweza kuwajibika na kuwajibishwa bila kuathiri umoja,aman,mshikamano na upendo wetu kama WATANZANIA!!,
aksanteni

Kwani hapo Naibu Spika amekosea nini.

Mimi naona amempa sasa nafasi nzuri sana kueleza hoja yake kwa kituo tena akishauriana na wenzake namna ya kuitoa mchicha.

<br / kosa la kwanza kumkatisha mbunge wakati anatoa hoja la pili kumlazmisha mbunge atoe hoja kwa maandishi. 3 kumfanyia mbunge ubabe

Mbunge John Mnyika leo ameomba muongozo wa naibu spika ili atoe hoja ya kutokuwa na imani na majibu ya waziri mkuu, naibu Spika akamzuia kwa kumwambia ametafsiri kanuni ndivyo sivyo na kumtaka akae chini na apeleke hoja yake kwa maandishi.

Nimeanza kuamini kweli wabunge wa CDM ni mambumbu wa kanuni. Kanuni inasema kwa maandishi, ww unataka kusema hapo hapo. Na ndio maana Mnyika ameambiwa awaulize ma seneta wa bunge ( ambao wana muda mrefu bungeni) wamfundishe kanuni azijue huyu kijana

Hawa vijana wa Chadema shule ipo, wanatumia vizuri sana nafasi wanazozipata kosa moja magoli 100, waliozowea kuendesha Bunge kwamazowea na mawaziri waliozowea kutoa majibu ya kubabaisha watadhalilika.

Kwa vile CDM shule ipo, wao wanatumia akili kufikiri.
Ndungai na wabunge wa CCM wao wanatumia "mandungai kufikiri"

Mtu asiniulize " source". kama mnataka source muulizeni Masaburi

hata mimi kama mwananchi wa kaiwada sina imana na huyu waziri mkuu.........anakera sana...mtu gani vugu vugu tu.....yaani haonyeshi kama ni waziri mkuu au rubber stamp tu!!

hata kama hoja ya mnyika wakiipoytezea wajue kuwa sisi wananchi tunajua kuwa pinda ni kikwazo katika maamuzi......

Sema ww ndio kikwazo hujui ulisemalo ! jitoe humu JF

<br / kanuni hizo ni kwa wabunge wa cdm tuu au?

Kuwa mwelewa ww, hizi ni kanuni za bunge ! alichoambiwa aweke kwa maandishi ndivyo kanuni inavyosema na yeye ameisoma. Nimeshangazwa sana na upeo wa mnyika wa kuelewa, ni mdogo sana sana !

Kwa vile CDM shule ipo, wao wanatumia akili kufikiri.
Ndungai na wabunge wa CCM wao wanatumia "mandungai kufikiri"

Mtu asiniulize " source". kama mnataka source muulizeni Masaburi

Kweli wajinga ndio wali wao, na sidhani km mtakwepa juu ya hilo, mtu anakwenda tofauti na kanuni leo mnasema shule ipo. Hiyo ni shule au ushamba na ujuha

Back
Top Bottom