Mnyika azuiwa kutoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!

Kuwa mwelewa ww, hizi ni kanuni za bunge ! alichoambiwa aweke kwa maandishi ndivyo kanuni inavyosema na yeye ameisoma. Nimeshangazwa sana na upeo wa mnyika wa kuelewa, ni mdogo sana sana !

Unakijua alichotaka kusema?Kwanini alizuiwa?

Kweli wajinga ndio wali wao, na sidhani km mtakwepa juu ya hilo, mtu anakwenda tofauti na kanuni leo mnasema shule ipo. Hiyo ni shule au ushamba na ujuha

Hili halina ubishi. Ukitaka kujua nani shule haipandi na ni nani juha, kamuulize Masaburi

Unakijua alichotaka kusema?Kwanini alizuiwa?

Alizuiwa kwa sababu kanuni aliyosoma haimruhusu yeye kusema, kanuni inasema kwa maandishi yeye ulitaka aruhusiwe kusema nn sasa ? kuweni waelewa nyie magwanda acheni kuwa mchicha mwiba

Sioni tatizo ni nini maana Ndugai ameisha toa ufafanuzi kuwa Mnyika alipaswa kufuata utaritibu husika........period

• Thanks
Reactions: FJM
Alizuiwa kwa sababu kanuni aliyosoma haimruhusu yeye kusema, kanuni inasema kwa maandishi yeye ulitaka aruhusiwe kusema nn sasa ? kuweni waelewa nyie magwanda acheni kuwa mchicha mwiba

Wewe wala naibu spika hamjui na hamtajua alichotaka kusema,kanuni imesomwa wewe unafikiri mbunge makini kama Mnyika hakuielewa?

Kwani hapo Naibu Spika amekosea nini.

Mimi naona amempa sasa nafasi nzuri sana kueleza hoja yake kwa kituo tena akishauriana na wenzake namna ya kuitoa mchicha.

Kwani nani alikuambia hakua tayari kueleza hoja yake vizuri? na kama unafikiri hivyo hudhani angechukua muda wake kujiandaa na si kwa naibu spika kujidai anampa hiyo nafasi? maji yakishajaa kwenye ndoo yatamwagika tuu hakuna njia ya kuyashindilia, its matter of time.

Nimeanza kuamini kweli wabunge wa CDM ni mambumbu wa kanuni. Kanuni inasema kwa maandishi, ww unataka kusema hapo hapo. Na ndio maana Mnyika ameambiwa awaulize ma seneta wa bunge ( ambao wana muda mrefu bungeni) wamfundishe kanuni azijue huyu kijana
we **** kweli,alichoomba mnyika ni mwongozo naibu spika alitakiwa hapohapo ampe huo mwongozo kwamba anatakiwa alete kwa maandishi.
sasa yeye akachachawa na kuanzakubabaika kama kawaida ya magamba.
kwa nini aje kutoa mwongozo mwisho?
kwani alichoomba mnyika ni nini?

Ndio maana nasema CDM wote ni mchicha mwiba. Amesoma kanuni inayotaka awasilishe kwa maandishi ulitaka aruhusiwe nn? acha kuwa mchicha mwiba ww, njoo nikupike nikule !

Hoja/Maelezo/ushahidi wa kimaandishi unatakiwa usomwe kwanza mbele ya kikao cha wabunge wote alafu ndio upelekwe kwa spika. Vinginevyo ni sawa na mchezo wa kutwanga maji

Wewe wala naibu spika hamjui na hamtajua alichotaka kusema,kanuni imesomwa wewe unafikiri mbunge makini kama Mnyika hakuielewa?

Wabunge wa CDM wote karibia hawajui kanuni, huwa wanapayuka tu wanadhani hiko ni kijiwe km kile wanachokaa pale American chipsi

Hoja/Maelezo/ushahidi wa kimaandishi unatakiwa usomwe kwanza mbele ya kikao cha wabunge wote alafu ndio upelekwe kwa spika. Vinginevyo ni sawa na mchezo wa kutwanga maji

Soma kanuni acha kuleta utumbo humu ndani.

Kwakweli nimetizama vizuri jinsi naibu spika alivyokuwa anatumia ubabe uliopitiliza.yaani inachefua kwakweli kuona bunge limekuwa kama kikao cha juuu cha chama cha mapinduzi chenye hulka ya kudumu kwa fikra za mwenyekiti na ukitofautiana unafukuzwa.
kama wabunge wanaakili za kutosha wasapoti hoja ya mnyika ije bungeni ili serikali ivunjwe maana sijaiona kazi ya Pinda hadi leo

Katiba mpya inatakiwa iaadress issues zote za good governance for social and economic development of this country.

Kwakweli nimetizama vizuri jinsi naibu spika alivyokuwa anatumia ubabe uliopitiliza.yaani inachefua kwakweli kuona bunge limekuwa kama kikao cha juuu cha chama cha mapinduzi chenye hulka ya kudumu kwa fikra za mwenyekiti na ukitofautiana unafukuzwa.
kama wabunge wanaakili za kutosha wasapoti hoja ya mnyika ije bungeni ili serikali ivunjwe maana sijaiona kazi ya Pinda hadi leo

Kwa hiyo ww huna akili ? asante kwa kutujuza

Swaumu kali inamsumbua huyu Mlengo wa kati

acha upumbavu wewe w/mkuu mwenyewe amekubali kuwa kuna kitu kama hiko kinaendelea,fuatilia vyombo vya habari siyo unakurupuka tu hata chai hujanywa na kuleta upupu wako hapa.watu wanajadili vitu vya msingi unaleta upupu wako.

We ni mlengo wa pembeni kabisa make hata habari huna!pm sijui mp kachemka na utasikia wale wenye akili zao wakitoa ufafanunuzi make hawanaga tabia ya kuacha mambo pending kama watu wa magamba!

Kwani hapo Naibu Spika amekosea nini.

Mimi naona amempa sasa nafasi nzuri sana kueleza hoja yake kwa kituo tena akishauriana na wenzake namna ya kuitoa mchicha.

Hivi kanuni za Bunge zinasema hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ni kwa maandishi tu? Karibu kila ushahidi kutoka upinzani wa maandishi umekaliwa au kuwekwa kapuni na hiyo ndio janja ya hawa viongozi wa Bunge!

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom